Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,397
- 1,825
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni MUHAS na MUST,
Mkopo kapata na chuo akapata MUST.
Na coz alopata ikawa ni hio BACHELOR OF LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY.
Sasa shida inakuja kua je MUST Kuna cozi hio. Kwa mana kila nikiangalie muongozo wa masomo sioni linalo husu AFYA intact, ni AFYA ila kiviwanda zaidi,
Na sio lengo lake Hilo,
Hii nafasi saizi anaiona chungu mno,
Naomba msaada je hapo MUST Kuna kozi ya bachelor in medical lab, au ni hiohio BLST.
Na kama haipo je anaweza Fanya transit Kwa kua kapata mkopo, kwenda chuo kingine kinachotoa cozi hio.
Msaada tafadhali.