chuo

  1. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Chuo sio sehemu salama ya kumpeleka mtoto asiyejielewa

    Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga. Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Course gani ya kuchagua kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya CBG?

    Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliofutiwa Shahada za Udaktari Chuo cha St. Augustine, waanza kujisalimisha

    Wahitimu 15 kati 162 wa Chuo cha Tiba cha Mtakatifu Fransis, Ifakara, waliofutiwa shahada zao kwa kukiuka agizo la Seneti ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (Saut) wamesalimisha taarifa za matokeo kunusuru shahada zao. Uamuzi wa wahitimu hao umekuja siku tatu tangu Seneti ya Saut kupitia kwa...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019. St. Augustine imechapisha tangazo kwenye gazeti la Daily news ikitoa notisi kubatilisha shahada za wanafunzi hao 162 ambao inadai wamegoma...
  6. Awiaman ooza

    JamiiForums Tanzania Kwa nini "Grade" za chuo zimepanda?

    Wakuuu salaaaam Nimepata matokeo yangu ya UE nimesikitishwa. Kwa upangiliaji wa grade hizi sababu nilidhania A inaanzia 70 kumbe sio hapa chini ni muongozo wa grade hizo A - 75 - 100 B+ - 65 - 74 B - 60 - 64 C - 50 - 59 D - 40 - 49 F / sup - below 40 Hii ni haki kweli wamangu by the way nina...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  8. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka. Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na...
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

    Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu. Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo. Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 34 wa Udaktari walioondolewa chuo (UDSM-MCHAS) waililia Wizara ya Elimu iwasaidie

    Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo. Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

    Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza. Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

    Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo? Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

    Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na...
  16. alex001

    JamiiForums Tanzania Je chuo cha State University Of Zanzibar (SUZA) ni kwaajili ya wa kazi wa zanzibar pekee.??

    Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
  17. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu zafanikisha ujenzi wa chuo cha VETA Ikungi

    JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI. Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania India kuanzisha chuo cha TEHAMA nchini Tanzania

    Serikali ya India inatarajiwa kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na kozi nyingine zinazoendana na mrengo huo. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo Dares Salaam...
Back
Top Bottom