Serikali imeongeza kiwango Cha pesa ya kujikimu kwa wanafunzi kutoka 8500tsh mpaka 10000tsh kwa siku

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,180
12,652
Serikali imeongeza kiwango cha posho ya kujikimu ya Wanafunzi wa elimu ya juu kutoka shilingi 8,500 hadi shilingi 10,000 kwa siku.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 05,2023 Bungeni Dodoma wakati akisoma hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2023/2024.

“Mafanikio haya ni kielelezo tosha cha umakini, uzalendo, maono na mapenzi makubwa ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuboresha ustawi wa maisha ya Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, kwa upande mwingine, kupitia Samia Scholarship, Serikali imetoa ufadhili kwa Wanafunzi 244 wa kike wenye ufaulu wa juu ili kusoma katika vyuo vikuu mbalimbali katika fani za Utabibu, Uhandisi, Sayansi, Teknolojia na hisabati, ama kwa hakika Mama anajali”

“Serikali imeendelea pia kutoa mikopo na kuongeza wigo wa upatikaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu sambamba na kuboresha miundombinu ya vyuo vya elimu ya juu nchini, katika mwaka 2022/2023, kiasi cha shilingi bilioni 654 zilitengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ikilinganishwa na shilingi bilioni 570 zilizotengwa mwaka 2021/2022, idadi ya wanufaika imeongezeka kutoka 177,605 mwaka 2021/2022 hadi 202,877 mwaka 2022/2023”
 
Attachments

  • 1680686624540.jpg
    1680686624540.jpg
    41 KB · Views: 11

Wa vyuo vya kati,wangekumbukwa,hasa wasichana,wangepewa mikopo na wao.
 
Hizo fedha tulizidai kwa maandamano pamoja na kuvunja geti la Prof. Mkandala miaka ilee! Baadaye tulipopata ajira tukaanza kuona machungu yake hasa alipoingia Marehemu Mwendazake. Tulilipa deni usilojua linaisha lini! Asante Mama Samia hatimae limeisha.
 
Kwani ungesema wameongezewa buku hero 1,500/ ungepungukiwa na nini? Ni aibu kwa kijana mdogo kuwa chawa.
 
Hizo fedha tulizidai kwa maandamano pamoja na kuvunja geti la Prof. Mkandala miaka ilee! Baadaye tulipopata ajira tukaanza kuona machungu yake hasa alipoingia Marehemu Mwendazake. Tulilipa deni usilojua linaisha lini! Asante Mama Samia hatimae limeisha.
Kweli kabisa mkuu.
 
Kama wanafunzi wameongezewa,waangalie uwezekano wa kuongeza kima cha chini kifike angalau 400,000 baada ya makato
 
Hizo fedha tulizidai kwa maandamano pamoja na kuvunja geti la Prof. Mkandala miaka ilee! Baadaye tulipopata ajira tukaanza kuona machungu yake hasa alipoingia Marehemu Mwendazake. Tulilipa deni usilojua linaisha lini! Asante Mama Samia hatimae limeisha.

Hata mm limeisha. Nataman mwendazake angekuwepo ili aone vzr jinsi Bodi itakavyohaha kupata pesa za kuwapa wengine. Maana wengi wamemaliza mwaka huu.
 
Back
Top Bottom