chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mgunda aache chuki binafsi na Sacko, Banda na Quatara. Anakikosi kizuri angefanikiwa kuweka historia

    Makocha wasiojitambua wanashindwa kabisa kuepuka tabia binafsi za wachezaji na swala la uchaguzi wa timu. Simba Ni timu ya kawaida yenye wachezaji fixed. Sacko Hana mbadala Simba. Labda Kama kumpumzisha. Ajifunze kwa nabi aliweza vipi kukaa na ambundo, Saido na Kamchukua Morsoni. Mgunda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

    Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya...
  5. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Chuki na uoga wa CCM kwa CHADEMA ni zaidi ya chuki na uoga wa Mkoloni kwa TANU ya Nyerere

    AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni. Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

    CHUKI YA MAKAMBA KWA HAYATI MAGUFULI IKO WAZIWAZI. Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia. Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati...
  7. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Chuki yangu na trafiki imegoma kuondoka

    Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU. Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya serikali iliyoko madarakani ndiyo sababu pekee ya maana ya kupinga tozo

    Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo. Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Chuki, unafiki na uzushi maofisini tiba yake ni nini?

    Hili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale. Na kitu kibaya utashangaa hata boss anaekuzidi mshahara na cheo anakujengea chuki kubwa dhidi yako. Huku Maofisini...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

    Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake. Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

    Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan. Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja. Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea Waislam kujitenga...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

    Moja kwa moja kwenye mada. Muna point kweli au ndio munafuata mkumbo tu, kwa sababu naona wengi wanasema eti maisha ni magumu ndio maana wanalaumu. Kwani lini yaliwahi kuwa mazuri? Tuanzie hapo kwanza.
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Angetile Osia (Katibu Mkuu wa TFF uliyetumbuliwa) na Rais wa TFF Karia tumekuchoka na Chuki

    Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga. Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
  18. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Chuki makazini huletwa na nini?

    Habari ya wakati huu ni matumaini yangu nyote mpo salama. Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Najua binadamu tuko tofauti lakini ningependa kupata comments tofauti tofauti kujua nini hasa hupelekea. Chuki, visasi, roho za kutendeana ubaya, malipizi, na mengineyo yasiyopendeza huletwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
  20. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Huwa unazishindaje dharau na chuki dhidi yako zinapoibuka?

    Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka. Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki. Let's share ideas.
Back
Top Bottom