Kwanini watu weusi hatupendani kabisa?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.

Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na tabia ya kuchukuwa wakimbizi kutoka nchi nyingi za Afrika kutupeleka kwao ili tufanye kazi.

Ila cha ajabu na cha kusikitisha watu weusi wenzetu ambao wako huku miaka mingi ndio wanachukia zaidi kuletwa kwa wakimbizi kuliko hata Wazungu wenyewe utafikiri nchi ni zao.

Kama USA mablack America wamekuwa na tabia ya kutupiga marisasi na kutupa kesi za ajabu ajabu.

Mpaka kuna magrupu yao fulani wamefungua conditions zao utasikia No congolais, No Africa na wanatujua kwa vingereza vyetu vya kuokota maneno.

Hivi kwanini watu weusi hatupendani na sio tu huku hata Afrika kwenyewe tulikuwa tunaona why?
 
Kama uko mambele jaribu kufata njaro zako usitake kuishi kama upo bongo kuleta kujuana juana hovyo. Mind your own business.
"Mind your own business" nakati unaishi duniani na Watu wa kila aina ya nyanja ya pesa kimuunganiko ukiwategemea kama;

* Wahasibu.

* Mameneja.

* Maafsa ugavi.

* Wanunuzi(wateja).

* Madaktari na Wauguzi.

* Wasambazaji bidhaa zako.

* Wafanyakazi/Waajiriwa.

*Mabosi au Waajiri.

* Madereva/Marubani/Manahodha.

* Waandishi wa habari.

* Viongozi wa dini.

* Viongozi wa siasa.

* Wanauchumi.

* Wafanyabiashara.

* Wakulima na Wavuvi.

* Mainjinia ( Gas, Electricity, Vehicles mechanics, Masonic/Air/Ship engineering. )

* Maaskari/Wanajeshi au Mabodigadi.

* Mahakimu na Wanasheria.

* Walimu.

* Washauri.

* Wataalamu.

Shida ya JF siku hizi kila mtu akishavemberwa wali maharagwe ya Mbeya basi naye anajua kila kitu...
 
Waafrika tunaweza kuwa na roho ya kutotaka kusaidiana lakini siyo kama wazungu we east Europe wenye roho za kutaka kuuana tu, Angalia urusi inavyowaua waukraine kwa sababu wao ni kabila jingine. Kama unamkumbuka slobodan Milosevic alivyoua watu wa Bosnia, Nagorno Karabak, Bulgaria, Czechslovakia na Yogoslovakia zote zilivyovurugana na kuuanauana mpaka zikavunjika vunjika kuwa kama mikoa ya Tanzania.
 
Mbona haya yanaendelea afrika pia
 
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.

Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na tabia ya kuchukuwa wakimbizi kutoka nchi nyingi za Afrika kutupeleka kwao ili tufanye kazi.

Ila cha ajabu na cha kusikitisha watu weusi wenzetu ambao wako huku miaka mingi ndio wanachukia zaidi kuletwa kwa wakimbizi kuliko hata Wazungu wenyewe utafikiri nchi ni zao.

Kama USA mablack America wamekuwa na tabia ya kutupiga marisasi na kutupa kesi za ajabu ajabu.

Mpaka kuna magrupu yao fulani wamefungua conditions zao utasikia No congolais, No Africa na wanatujua kwa vingereza vyetu vya kuokota maneno.

Hivi kwanini watu weusi hatupendani na sio tu huku hata Afrika kwenyewe tulikuwa tunaona why?
Simple answer sababu si waaminifu.
 
Wacongo na wasudani ea south ni vilaza sana naendekeza sana pombe,na kuzaa hovyo huko USA na canada
 
ukitaka kuona mtu mweusi ana roho mbaya kiasi gani Pale ukifanikiwa kuzamia ma Europe halafu ukajipiga ukimbizi, kimbebe ni pale kwenye interview ukikutana na mtu mweusi, Kuna asilimia kubwa ya kupigwa na chini unapokutana na mtu mweusi kuliko mzungu.
 
"Mind your own business" nakati unaishi duniani na Watu wa kila aina ya nyanja ya pesa kimuunganiko ukiwategemea kama;

* Wahasibu.

* Mameneja.

* Maafsa ugavi.

* Wanunuzi(wateja).

* Madaktari na Wauguzi.

* Wasambazaji bidhaa zako.

* Wafanyakazi/Waajiriwa.

*Mabosi au Waajiri.

* Madereva/Marubani/Manahodha.

* Waandishi wa habari.

* Viongozi wa dini.

* Viongozi wa siasa.

* Wanauchumi.

* Wafanyabiashara.

* Wakulima na Wavuvi.

* Mainjinia ( Gas, Electricity, Vehicles mechanics, Masonic/Air/Ship engineering. )

* Maaskari/Wanajeshi au Mabodigadi.

* Mahakimu na Wanasheria.

* Walimu.

* Washauri.

* Wataalamu.

Shida ya JF siku hizi kila mtu akishavemberwa wali maharagwe ya Mbeya basi naye anajua kila kitu...

Umeona ehh!
Yaani mijitu ni ku generalize kila kitu!
Kitu alicho andika huyu nut case ni uwongo wa hali ya juu!
Hivi wewe mwanasesere ulio leta huu uzi umeshafika India, ukaona jinsi wanavyo baguana?
Hebu usinitie kichefu chefu
 
halafu weusi ni wazuri wa kuona ubaya wa tabia za wenzao bila kujitathmini binafsi, kiufupi sisi sio wawajibikaji
 
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.

Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na tabia ya kuchukuwa wakimbizi kutoka nchi nyingi za Afrika kutupeleka kwao ili tufanye kazi.

Ila cha ajabu na cha kusikitisha watu weusi wenzetu ambao wako huku miaka mingi ndio wanachukia zaidi kuletwa kwa wakimbizi kuliko hata Wazungu wenyewe utafikiri nchi ni zao.

Kama USA mablack America wamekuwa na tabia ya kutupiga marisasi na kutupa kesi za ajabu ajabu.

Mpaka kuna magrupu yao fulani wamefungua conditions zao utasikia No congolais, No Africa na wanatujua kwa vingereza vyetu vya kuokota maneno.

Hivi kwanini watu weusi hatupendani na sio tu huku hata Afrika kwenyewe tulikuwa tunaona why?
Wote weusi tutapendanaje
 
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.
Nope weusi tulikuwa tunapendana sana wajamaa na hata ukifika sehemu hawakujui wanakukaribisha kama mgeni..., Na kuwakaribisha so called hawa wageni ndio kulipekea wengine hata kutawalia na kunyanganywa vya kwao.... ila ni hulka ya binadamu wote duniani in short hii verse ya Fid Q says a lot than I can Say it myself...

Tunachukiana Kwa Sababu Tunaogopana/
Tunaogopana Kwa Sababu Hatujajuana/
Hatujuani Kwa Sababu Tunatengana...
Dunia Ni Nzuri Walimwengu Hawana Maana!!​

Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na tabia ya kuchukuwa wakimbizi kutoka nchi nyingi za Afrika kutupeleka kwao ili tufanye kazi.
Sasa wivu wa kijinga na kukimbia kama wakimbizi vinaingilianaje hapo ?..., Yaani unamaanisha hao USA ambao waliwanyanganya red indians ardhi yao na kuwatumikisha Africans kwamba ni inferior race ndio wana upendo sana kwa ndugu zetu waafrica kuliko sisi waafrica ?!!!!
Ila cha ajabu na cha kusikitisha watu weusi wenzetu ambao wako huku miaka mingi ndio wanachukia zaidi kuletwa kwa wakimbizi kuliko hata Wazungu wenyewe utafikiri nchi ni zao.
Naam hao ni nchi ni zao pia sababu their ancestors helped build those nations..., Pia kuna wengine wanajua / wanafikiri kwamba nyie mliobaki huku ndio mlishiriki kuwauza mababu zao (ingawa huenda sio kweli 100 %) lakini kinachochukiwa sio rangi yako bali huenda tabia zako (wengi hawachukii rangi yako bali utamaduni can not mix..., sasa wewe ukipeleka uafrika wako kule na vitabia vyako ambavyo kwao ni tofauti unategemea nini ?

When in Rome do as Romans....
Kama USA mablack America wamekuwa na tabia ya kutupiga marisasi na kutupa kesi za ajabu ajabu.
Kwani wenyewe hawapigani wenyewe kwa wenyewe...,
Mpaka kuna magrupu yao fulani wamefungua conditions zao utasikia No congolais, No Africa na wanatujua kwa vingereza vyetu vya kuokota maneno.
Naam kwahio hawachukii rangi zenu bali tamaduni zao na zenu zina-crash
Hivi kwanini watu weusi hatupendani na sio tu huku hata Afrika kwenyewe tulikuwa tunaona why?
Nope sio kweli hatupendani bali tamaduni zina-crush na binadamu resources zinapokuwa chache wanaanza kuangalia utofauti wao na kutengena Survival Instinct.... (refer South Africa) na kinacho-crush baina yenu ni tamaduni na sio rangi zenu....

Ngoja nikupe story
Kuna rasta mmoja miaka ya zamani sana kabla wabongo hawajaanza kuvamia nchi za watu, baada ya kupamiss sana home kuna siku yupo Pub akasikia watu wanagombana yaana wanatukanana matusi ya nguoni ambayo siwezi kuyasema hapa..., ila jamaa kwa kupa-miss home na kusikia kiswahili baada ya miaka kadhaa....., aliwafuata wale watu bila hata kuogopa ushari wao wala tabia zao chafu na kuwaomba urafiki...

As you can see its cultural / utamaduni ndio mara nyingi una-crash uswahili wenu / wako / wetu huenda ukawa kero kwa wengine sio sababu ya rangi bali utofauti wa tabia....

Birds of a Feather Flock Together.....
 
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.

Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na tabia ya kuchukuwa wakimbizi kutoka nchi nyingi za Afrika kutupeleka kwao ili tufanye kazi.

Ila cha ajabu na cha kusikitisha watu weusi wenzetu ambao wako huku miaka mingi ndio wanachukia zaidi kuletwa kwa wakimbizi kuliko hata Wazungu wenyewe utafikiri nchi ni zao.

Kama USA mablack America wamekuwa na tabia ya kutupiga marisasi na kutupa kesi za ajabu ajabu.

Mpaka kuna magrupu yao fulani wamefungua conditions zao utasikia No congolais, No Africa na wanatujua kwa vingereza vyetu vya kuokota maneno.

Hivi kwanini watu weusi hatupendani na sio tu huku hata Afrika kwenyewe tulikuwa tunaona why?
Ngoja Sukuma gang waje.....
 
Back
Top Bottom