Watu wa bara mna ubaguzi na chuki za kidini

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
696
1,874
Happy ban day!

Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue?

Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia mnawafelisha wanafunzi wa bara.

Bwana .siwezi kumtaja mtoto wake amefelishwa kwenye shule moja huko bara eti kisa ni muislamu na anatokea pwani tafadhalini sana watu wa bara tunajenga nyumba moja kwanini mnaubaguzi hivyo?

Watu wa bara tafadhalini acheni hizo chuki zenu na ubaguzi wenu wa ajabu ajabu na sisi tutawabagua huku kwetu pwani.

"Jamiiforum acheni double standard na ubaguzi wa dini hili ni jukwaa huru"

Cde. Mwanamzizima
Mkristo Safi.
 
Bwana .......siwezi kumtaja mtoto wake amefelishwa kwenye shule moja huko bara eti kisa ni muislamu na anatokea pwani tafadhalini sana watu wa bara tunajenga nyumba moja kwanini mnaubaguzi hivyo?

Watu wa bara tafadhalini acheni hizo chuki zenu na ubaguzi wenu wa ajabu ajabu na sisi tutawabagua huku kwetu pwani.

"Jamiiforum acheni double standard na ubaguzi wa dini hili ni jukwaa huru"

Cde. Mwanamzizima
Mkristo Safi.
Mwana Mziima Umeongea maneno makubwa sana na hii ni siri nzito umeitoa .Nashukuru kwa kusema ukweli ktk suala la Elimu Wakiristo wamelivamia njuga sana hawataki waislamu wasome hata kidigo chuki zao na ubaguzi wao ziko wazi wazi ikiwa sisi watu wa bara munatubagua kisa Waislamu je Wazanzibari ndio kabisaaa.Tanzania ni bomu la saa udini upo na chuki zipo na harakati za kuwa Muislamu asisome zipo na hilo liko wazi na wakristo wanajifanya wao ni majority hapa Tanzania kumbe ni manority .Waislamu amkeni wachemi mambo ya magoma hayo hayatasaidia .
 
Kanda ya uwizi wa mitihani ni kaskazini nimekulia na kusomeka huko ukisikia pwani paper imevuja ujue inatokea shule za Kilimanjaro na Arusha ..Mpaka Kuna mawakala wake kabisa .
Hapo Msoga kuna genge la wizi wa mitihani na mwizi unamjua maana ndiye muasisi wa BRN.
 
Happy ban day!

Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue?

Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia mnawafelisha wanafunzi wa bara.

Bwana .siwezi kumtaja mtoto wake amefelishwa kwenye shule moja huko bara eti kisa ni muislamu na anatokea pwani tafadhalini sana watu wa bara tunajenga nyumba moja kwanini mnaubaguzi hivyo?

Watu wa bara tafadhalini acheni hizo chuki zenu na ubaguzi wenu wa ajabu ajabu na sisi tutawabagua huku kwetu pwani.

"Jamiiforum acheni double standard na ubaguzi wa dini hili ni jukwaa huru"

Cde. Mwanamzizima
Mkristo Safi.
Msituchoshe na dini zenu za Waarabu na Wazungu
 
Hapo Msoga kuna genge la wizi wa mitihani na mwizi unamjua maana ndiye muasisi wa BRN.
Kuna wakala wao alishikwa miaka ya 2010 kama sijakosea akasema anapata kutoka Kilimanjaro shule fulani ya private ndo walikuwa wanamtumia.
 
Shobo ni ushoga kabisa usiniletee shobo Kaa pembeni...ukweli unauma yapo kibao nyuma ya kapeti toa ufala wako hapa.
Unaona sasa , ukiguswa kidogo tu , munaanza matusi
Na mdomo huo na akili hio, unatumia kusali?
 
Kanda ya uwizi wa mitihani ni kaskazini nimekulia na kusomeka huko ukisikia pwani paper imevuja ujue inatokea shule za Kilimanjaro na Arusha ..Mpaka Kuna mawakala wake kabisa .
Ikiletwa hapa list ya shule zilizofungiwa kwa udanganyifu utaikimbia post yako.
 
Back
Top Bottom