chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,006
- 20,683
Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha.
Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia chuki bandia, za kulazimishwa dhidi ya viongozi wetu na nchi yetu.
Pamoja na hao jamaa kuimba chuki kwa miaka karibu 30, maajabu, wanafunzi wa SoMo la chuki wameonyesha dhahiri hawataki mtaala huo.