chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  2. JamiiForums Tanzania Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
  3. JamiiForums Tanzania Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli. Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
  4. JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya wahitimu vyuoni hawajawahi kusoma kitabu chochote cha elimu binafsi, ni professionals tu katika fani walizosomea ila hawajaelimika

    Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga mazoea ya kusoma vitabu nje ya taaluma vyenye maarifa yanayogusia maisha, jamii, kustarabika, kuwa mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Bila kupewa promo na Diamond Platinumz, Alikiba si chochote wala si lolote

    Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe. Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake. Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost kwenye muziki wake. Nyinyi wenyewe ni mashahidi , Diamond akiachaga tu kujibizana na Ally Kiba, Ally...
  6. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kinacho mambo ya ( rohoni ) hasa upande wa giza ( Ufalme wa giza )

    Mzuka! N:B.. Kama upo msomi, wa kishua sana, uzungu mwingi na huamini mambo ya rohoni hatuna haja ya kusumbuana sana mazee.. piga kimya kimya.. pia mie sio muandishi mzuli.. Maeneo ambayo naweza yajibia vizuri kwa ufasaha... kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano.. Ulimwengu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  9. JamiiForums Tanzania Bora kuufuta kwanza mkataba wote wa bandari na DP World kuliko kujaribu kurekebisha chochote ili ufae

    Tanzania tupo kwenye mjadala mzito unaohusu bandari na waarabu wa Dubai (DP world), na kiini cha mjadala wote ni kuhusu dosari za kimsingi zinazounguka mkataba wenye. Jambo moja la wazi linalokubalika na pande zote katika mjadala huu ni kuwa, sote (serikali na wakosoaji) tunakubali kuwa mkataba...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

    Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa. Anayejua anijuze. Mzee pinda anakumbukwa kwa kilimo kwanza, Lowassa shule za Kata.
  11. JamiiForums Tanzania Ni siku ipi nzuri kwako ilikuwa na matukio nadra mazuri kwako?

    Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie. Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu za Kisaikolojia zinazoweza kukusaidia kushawishi na kukufanya ukafanikiwa katika kitu chochote

    Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana. Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika suala DP World na Bandari zetu

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu. Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatuna cha kujivunia sana maana hatujapata tulichokihitaji

    Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo. Kwetu Simba tuwapongeze nyota wetu waliotwaa tuzo hakika wametuheshimisha Kiujumla kama timu hatuna...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema bila ya yeye kupewa wapiganaji 200,000 hali ilivyo sasa Urusi haitamudu chochote

    Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana. The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow to provide him with 200,000 troops in order to halt the long-promised Ukrainian counteroffensive, as...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume Kumbuka, Hudaiwi Kitu Na Mwanamke Usiyemjua Wala Yeye Hakudai Kitu.

    Usijihisi labda una deni kwake. Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie. Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine. Ukiona mawazo ya hivyo yanakujia, kwamba, inabidi umpe hela/ chochote sababu amekupa muda wake au ili upate muda wake...
  19. JamiiForums Tanzania Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

    Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine wakataa kutoachia kipande chochote cha ardhi

    Ukraine imeijibu China ambayo inajaribu mbinu za kuishawishi Ukraine iachie kipande cha ardhi kwa Urusi ili yaishe. Hivi mnaoishabikia Urusi kwenye harakati zake za kuiba ardhi ya Ukraine mnajihisi vipi, hususan wale huwa mumejiaminisha mambo ya kidini, kwa ardhi yote hii ya Urusi bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…