Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli.
Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga mazoea ya kusoma vitabu nje ya taaluma vyenye maarifa yanayogusia maisha, jamii, kustarabika, kuwa mtu...
Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe.
Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake.
Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost kwenye muziki wake.
Nyinyi wenyewe ni mashahidi , Diamond akiachaga tu kujibizana na Ally Kiba, Ally...
Mzuka!
N:B.. Kama upo msomi, wa kishua sana, uzungu mwingi na huamini mambo ya rohoni hatuna haja ya kusumbuana sana mazee.. piga kimya kimya.. pia mie sio muandishi mzuli..
Maeneo ambayo naweza yajibia vizuri kwa ufasaha... kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano..
Ulimwengu wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
Tanzania tupo kwenye mjadala mzito unaohusu bandari na waarabu wa Dubai (DP world), na kiini cha mjadala wote ni kuhusu dosari za kimsingi zinazounguka mkataba wenye.
Jambo moja la wazi linalokubalika na pande zote katika mjadala huu ni kuwa, sote (serikali na wakosoaji) tunakubali kuwa mkataba...
Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa.
Anayejua anijuze.
Mzee pinda anakumbukwa kwa kilimo kwanza, Lowassa shule za Kata.
Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie.
Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana.
Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu.
Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo.
Kwetu Simba tuwapongeze nyota wetu waliotwaa tuzo hakika wametuheshimisha Kiujumla kama timu hatuna...
Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima.
Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana.
The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow to provide him with 200,000 troops in order to halt the long-promised Ukrainian counteroffensive, as...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
Usijihisi labda una deni kwake.
Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie.
Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine.
Ukiona mawazo ya hivyo yanakujia, kwamba, inabidi umpe hela/ chochote sababu amekupa muda wake au ili upate muda wake...
Ukraine imeijibu China ambayo inajaribu mbinu za kuishawishi Ukraine iachie kipande cha ardhi kwa Urusi ili yaishe.
Hivi mnaoishabikia Urusi kwenye harakati zake za kuiba ardhi ya Ukraine mnajihisi vipi, hususan wale huwa mumejiaminisha mambo ya kidini, kwa ardhi yote hii ya Urusi bado...
Kama hujamfata kuongea naye.
Kama hupeleki mahusiano mbele.
Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka.
Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa.
Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake,
Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.