Mbinu za Kisaikolojia zinazoweza kukusaidia kushawishi na kukufanya ukafanikiwa katika kitu chochote

ChatGPT

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
528
990
Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana.

1686851141222.png


Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa "wahi zimebaki chache" hapo they are playing with only two principles za persuasion;

1. Scarcity: Kuna kale kafeeling kwamba i will miss the chance to save a certain amount au offer itaisha

2.
Reciprocity: Niliwahi ambiww somewhere kwamba kama ukiona unapewa kitu bure, ujue wewe ndo bidhaa, so they will give you things for free so you can reciprocate by buying their stuff the other day. Sasa a tool is a tool, kisu kikiwa jikoni ni cha kukatia mboga na nyanya ila akichukua jambazi ni silaha. So you can use above techniques in your business, makampuni yaliyofanikiwa ki mauzo ni yale ambayo wamewaaminisha watumiaji kwamba their product is rare, apple, rolex and others watatoa hadi limited editions to give you mind craving and the feeling that tunatumia wachache.

3. Social Proof: Kwa kawaida tuu watu tukiwa confused au not knowing something, huwa tunafata tabia au maamuzi yaliyofanywa na watu wengi. Mfano, hausikilizi sana siasa na pengine hujui hata wagombea wote, ikija unataka upige kura, mara nyingi utafuata wanaemsifia wengi. Picha yenye likes nyingi iko likely kuwa liked even more kwasababu ya hii silaha ya ushawishi, WCB wameiva sana kwny hiki kipengele, wakikuonesha wamehit views 1 mil kule youtube it is likely wakawa viewed even more.

Kununua kitu online haufuati bidhaa yenye reviews nzuri pekeake, unafata ambayo ina ratings kubwa pia, kwa fact kwamba kama wengi wameipenda mi ni nani. Hii in business ina nguvu sana sana implement it in anyway, fake the followers, show numbers, show testimonials utapata wateja wengi sana kwasababu ya hii silaha 'social proof'. How do you defend yourself sasa? Jitahidi usiingie kwenye trap ya "kama wengi wameikubali basi ni sahihi" Just because everyone is doing it doesnt mean it’s right.

4. Liking: As a rule yani tunavutiwa sana na watu ambao in some way tunafanana vitu like hobbies, interests or opinion. Pia tunavutiwa na mionekano ya watu pia. As according to dark psychology tuko so likely to accept offers kutoka kwa watu tunaowa-like kivipi sasa? Kuna vitu viwili hapo; i. Bond of sympathy ii. Bond of similarity.

Ya kwanza inapatikana kwa kusifia kitu au kumotivate mtu lets say umefika dukani kwa mtu alafu ukaanza kusifia huduma yake ukamkumbusha kwamba umeshawahi kununua kwake na aendelee kufanya kazi nzuri, it is more likely that atakupunguzia bei kirahisi ukionba discount chukua hiyo itakusaidi. Hiyo ya pili inatafutwa when you find something in common na huyo mtu unayetaka kumfanyia manipulation.

Kwa mfano amekuja mteja dukani kwako, ukaanza kumsalimu kumuuliza kuhusu familia alafu ukagundua anakokaa na wewe unapafahamu, say to him or her "Yeah naijua hiyo sehemu nilishawahi kuwa hapo na niliinjoy sana" Having said that unakuwa una a point in common naye sasa atakaponunua kimoja ukamshawishi kununua kingine yuko more likely kukubali. See it works in dark psychology of a human being. As mifano iliyotolewa unaweza kutumia kwny biashara au huduma unatoa, ndio maana biashara kama za banks na zingine huwa wanatumia hivyo vitu ili ujione sehemu yao then booom they sell you their services and you buy

5. Authority: Kikawaida kabisa yani ni rahisi sana kufuata ushauri au maelekezo ukijua huyu mtu ni wa mamlaka kwamfano. Ukipewa ushauri wa kitabibu na mtu aliyevaa koti jeupe unamuamini, kwanini, kwasabu unajua anajua utabibu na ndio umeaminishwa hivo, na trust me wagonjwa wengi wanapona zaidi kwa belief kuliko hata dawa zenyewe.

Ukienda kuongea na client umevaa zako safi umetupia vitu vikali na umeshika simu kali na wakati wa kuja haumuulizi nishukie kituo gani, unamwambia akutumie location. Unafika pale kwa usafiri, it is more likely ukiweka offer yako mezani ataikubali kwasababu ameona value yako in so many ways. Hii kitu wanafanikiwa sana wale jamaa wa network marketing, watu wa mabenki, na watu wa mitandao ya simu.

Jamaa wa network marketing watakupigia suti kali, watakuonesha a lot of things ili ununue huduma yao na in most cases they do not close their deals kwa simu, wanataka muonane ili ujionee live. Use this in your business or service. Kuweni smart, print hata tshirt tuu wavae hao employees wako, fanya vitu vitakuweka katika point ya authority, you will move your customers towards you.

Kujidefend na hii silaha pia, Ukiletewa mada na mtu wa mamlaka kama nilivomuelezea hapo juu, fanya kitu kimoja, Separate the person presenting the idea, with the actual product he presents, utakuwa na uwanja mpana sana wa kufikiria kwa uhalisia bila kuwa manipulated.

6. Commitment and consistency: Uko zako kwenye sherehe kama mgeni mwalikwa inatokea saa ya kutoa ahadi wa kwanza anasema mimi ntatoa milioni, wapili anasema atatoa laki 7, wewe ni wa nne na una afu tano tuu ya usafiri. Inabidi uahidi kwamba waifate ofisini the coming week kuondoa aibu.

Sasa hii technique inatumiwa sana kwenye maeneo mbalimbali in case of fund raising na wengi mtakuwa mmewahi kushuhudia. Ila hatujawahi kujiuliza kwanini wanatumia hako kamfumo, ni kwasababu it’s so damn hard to resist a request in public na ukiahidi, your guts are going to make sure you fulfill that.

Sasa binadamu tuna ile hali ya kutaka kuonekana tuko vizuri in public which costs sometime. Sasa how do you defend yourself, avoid promising in public kwasababu things do go so fast na unakuta umeshapromise kitu nje ya uwezo.

7. Units (Community effect): Kwenye hii Apple ni wabobezi wa kutumia hii silaha. Ni hivi, Apple wametengeneza bidhaa ambazo watu wanaweza kuji-identify nazo, kwamfano mwenye iPhone anaonekana ana uwezo, and that is why it is a community bila wenyewe kujua and kibiashara imewatengenezea community yao wote kuwa na common enemy ambaye ni "Android". Kitu kinachowafanya wauze sana products zao na kuwatunza customers walionao.

Hivyo hivyo kwa Wasafi na lable zingine n.k, kwa kufanya community effect in your business itakutengenezea loyal customers ambao ndio watakutajirisha. To defend yourself from this weapon, try not to easily identify you with a product itakusaidia kufanya actual reasoning and consumption.

Now nimemaliza hizi weapons 7. Let me know what do you thing about the weapons of influence na unavoweza kuzitumia kwenye maisha yako ya kawaida.
 
Back
Top Bottom