china

  1. M

    JamiiForums Tanzania China bridges that are magnificent to view and travel on

    Chinese bridges are among the most developed and required high technology to develop their bridges that are a bit confusing though it required highly skilled engineers to build the bridges. The China government has maximized more capital on the developments thus this has became effective for the...
  2. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  3. Ntaghacha

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

    Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika. Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Rais Xi Jinping wa China amechagua Mto Huai kama kituo chake cha kwanza katika ziara mkoani Anhui, katikati ya China?

    Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Anhui, katikati ya China, na kuanzia ziara hiyo katika mto Huai ambao unachukuliwa kama mpaka wa kijiografia kati ya sehemu za kusini na kaskazini ya China, na kituo muhimu cha kukinga maafa ya mafuriko. Rais Xi ametembelea kwanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lijue deni la Matrilioni ya dola ambalo China inadaiwa na Wamarekani

    Katika karne ya 19 wakati huo China ikitawaliwa na mfalme (Kipindi cha Qing Dynasty), Serikali ya China ya wakati huo ilitafuta fedha za kujenga reli kutoka jimbo la Hunan hadi mji wa Guangzhou. Ili kupata fedha iliamua kuuza treasury bonds kwa watu wa nchi za West, wakiwemo wamarekani...
  6. Almendezz

    JamiiForums Tanzania China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  8. M

    JamiiForums Tanzania China Shocks The World with its building skills

    Building is skill combined with creativity. Everybody wants to build a unique house,company or anything else that will attract and suprise many. China has proved to have it all, it's buildings are so weird but at the same time very unique and beautiful.As we know China is a power house in terms...
  9. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza idadi ya makampuni ya China kwenye orodha ya Fortune ya makampuni 500 yenye nguvu duniani yaizidi ya Marekani

    Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
  11. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania China yajibu mapigo yaipiga Sanction Marekani

    China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration. Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania China and the US: foes that would rather have an economic intergration!

    Folks , I have seen this serious talk in a forrum, and its quite interesting to hear the argument for and against the fact that, China and the US are too intertwined to have an all out war! Fact remains, China is developing economically at a faster rate that the US! Hear this out!
  13. T

    JamiiForums Tanzania iPhone yapoteza nafasi ya kuwa simu namba 1 China. Watu wengi wanahamia Huawei

    China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China. Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

    Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi. Rais wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania China: Tunapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha Makampuni ya Kichina

    Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina. China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina. Juzi jumapili Waziri wa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anapanga kuipiga marufuku App ya Tik Tok kutoka China ifikapo Septemba 15

    Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo Trump alipanga kuzuia mitandao hiyo Septemba 15, ikiwa mitandao hiyo haitauzwa. Aidha mitadao hiyo ilikuwa...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania App ya TikTok yaingizwa kwenye mtego wa majaribu ya Marekani dhidi ya China

    Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Balozi Kairuki kuhusu Wanafunzi wa Kitanzania kuchukuliwa na Ndege ya ATCL

    Nimeona ujumbe wa upotoshaji unaozungushwa kwenye mitandao ya kijamii ulioandikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe...
  19. Guus

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  20. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

    Wizara ya Mambo ya nje ya China imeiagiza serikali ya Amerika kufunga ofisi ya wanadiplomasia huko Chengdu, hatua ya Beijing iliona majibu ya barua-mbili kwa kufukuzwa kwa Washington kwa wafanyikazi wa ubalozi wa China kutoka kituo huko Texas. Beijing orders US to close its consulate in Chengdu...
Back
Top Bottom