China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
Wizara ya Mambo ya nje ya China imeiagiza serikali ya Amerika kufunga ofisi ya wanadiplomasia huko Chengdu, hatua ya Beijing iliona majibu ya barua-mbili kwa kufukuzwa kwa Washington kwa wafanyikazi wa ubalozi wa China kutoka kituo huko Texas.

Beijing orders US to close its consulate in Chengdu in retaliation for closure of Chinese facility in Houston

Chinese Foreign Ministry has ordered the US government to shutter a diplomatic office in Chengdu, a move Beijing deemed a tit-for-tat response to Washington’s recent expulsion of Chinese consulate staff from a facility in Texas.

“China has decided to revoke the license for the establishment and operation of the US Consulate General in Chengdu and put forward specific requirements for the Consulate General to stop all business and activities,” the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Friday morning.

The current situation between China and the United States is something China does not want to see, and the responsibility rests entirely with the United States.

ALSO ON RT.COM
FBI hunts for ‘Chinese military spies’ all across the US as Pompeo calls for global crusade against Beijing

Beijing once again urged Washington to "immediately revoke the erroneous decision to create necessary conditions for the return of bilateral relations to normal," it added.

Washington “unilaterally provoked” the retaliatory move, the statement went on, pointing to this week’s decision to shut down a Chinese consulate in Houston, Texas, which it said “seriously violated international law and… damaged Sino-US relations.”

Though Beijing expressed regret over escalating tensions between the two countries, it said expelling American diplomats was a “legitimate and necessary response” to “unreasonable actions” on the US side, insisting it has acted in line with international norms.

===
Wizara ya Mambo ya Nje ya China, imeiamuru Marekani kufunga jengo lake la Kidiplomasia lililopo Chengdu, China. Uamuzi huu umekuja baada ya Marekani kufunga ofisi ya Kidiplomasia ya China iliyopo Texas Marekani

Kufungiana ofisi za Kidiplomasia linaonekana kuwa swala linalozidi kuonyesha utengano kwa mataifa hayo ambayo awali yalianza kwa kuwekena vikwazo katika upatikanaji wa VISA, na kuongezea sheria wanaosafiri kidiplomasia

Awali Marekani ililaumu ofisi hizo za kidiplomasia zilizoko Marekani kuwa wanasaidia wizi wa kijeshi unaoiba tafiti za wamarekani. Pia waliwalaumu watu wa ofisi hizo kutumia majina yasiyo halisi katika kufanikisha suala la kuiba taarifa za kiintelijensia

Maafisa wa kichina wanasema utawala wa Rais Trump unaonyesha Chuki ya wazi kwa wachina na wamemlaumu Pompeo kwa kuendeleza itikadi za vita baridi
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya China, imeiamuru Marekani kufunga jengo lake la Kidiplomasia lililopo Chengdu, China. Uamuzi huu umekuja baada ya Marekani kufunga ofisi ya Kidiplomasia ya China iliyopo Texas Marekani

Kufungiana ofisi za Kidiplomasia linaonekana kuwa swala linalozidi kuonyesha utengano kwa mataifa hayo ambayo awali yalianza kwa kuwekena vikwazo katika upatikanaji wa VISA, na kuongezea sheria wanaosafiri kidiplomasia

Awali Marekani ililaumu ofisi hizo za kidiplomasia zilizoko Marekani kuwa wanasaidia wizi wa kijeshi unaoiba tafiti za wamarekani. Pia waliwalaumu watu wa ofisi hizo kutumia majina yasiyo halisi katika kufanikisha suala la kuiba taarifa za kiintelijensia

Maafisa wa kichina wanasema utawala wa Rais Trump unaonyesha Chuki ya wazi kwa wachina na wamemlaumu Pompeo kwa kuendeleza itikadi za vita baridi

====

Retaliating for the Trump administration’s order to close China’s consulate in Houston, China announced on Friday that it had ordered the United States to shut its consulate in the southwestern city of Chengdu.

The tit-for-tat consulate closures were yet another twist in deteriorating relations between Washington and Beijing, perhaps the gravest one yet. Previous moves by the two sides have included visa restrictions, new travel rules for diplomats and the expulsion of foreign correspondents. By shutting down diplomatic missions, however, the two countries seem to be moving inexorably toward a deeper divide.

The announcement by the Ministry of Foreign Affairs in Beijing came hours after Secretary of State Mike Pompeo delivered a speech summarizing the Trump administration’s increasingly aggressive stance toward China on virtually every aspect of the relationship — from trade to technology.

“We must admit a hard truth that should guide us in the years and decades to come, that if we want to have a free 21st century, and not the Chinese century of which Xi Jinping dreams, the old paradigm of blind engagement with China simply won’t get it done,” Mr. Pompeo said on Thursday. “We must not continue it and we must not return to it.”

He spoke in California at the library of President Richard M. Nixon, whose visit to China in 1972 set in motion a new era of relations that, he said, China exploited to the disadvantage of the United States. His reference to the closing of the consulate in Houston was met with a round of applause.

Chinese officials have reacted angrily to the administration’s moves, accusing Mr. Pompeo and others of embracing a Cold War mentality. They have denied or downplayed many of the accusations, including that the consulate in Houston was a hub of illegal activity.

Beijing’s order to close the U.S. Consulate in Chengdu, the westernmost of the five American consulates in mainland China, deprives the United States of its most valuable diplomatic outpost for gathering information on Xinjiang and Tibet, the two sometimes-restive regions in China’s far west.

Both regions have been the locations for wide-ranging security crackdowns that have drawn international criticism for abuses of human rights. Chinese officials insist that they have respected international norms.


In a tweet on Friday, Hua Chunying, a foreign ministry spokeswoman, strongly criticized Mr. Pompeo’s remarks. The secretary of state is “launching a new crusade against China in a globalized world,” she wrote. “What he is doing is as futile as an ant trying to shake a tree.”

Administration officials this week accused Chinese diplomats in Houston of aiding economic espionage and the attempted theft of scientific research in numerous cases across the United States. Intelligence operatives from all countries operate out of their embassies and consulates, but with its actions, the administration is accusing the Chinese of going too far, violating American law by lying about their identities in order to operate undercover.

A summary of law-enforcement activities against the Chinese in the United States, provided by officials in Washington to The New York Times, depicted a web of covert activities by the consulate to recruit researchers and others to collect technology and research, including at several of the top medical centers in the great Houston region.

It also detailed a series of F.B.I. investigations across the country, disclosing that the bureau had conducted interrogations in 25 states of people thought to be members of China’s military, the People’s Liberation Army, sent to study or conduct research at universities without disclosing their affiliation.

The document said four of them had been charged and three arrested. One, identified as Tang Juan, studied at the University of California, Davis, and fled to the Chinese Consulate in San Francisco to escape arrest, according to the document. That has created yet another diplomatic crisis to untangle.

China’s decision was expected. China had warned earlier in the week that it would retaliate in kind. At the same time, the government appears to have little appetite for an escalation.

The immediate effect of closing the two consulates is expected to be minimal in the short term, especially since the visas they normally process have become moot at a time when travel has been severely limited by the coronavirus pandemic.

One difficulty for China in closing American consulates is that they are needed by many Chinese families. United States consulates in China issued 1.26 million visas in the past fiscal year.

The city of Chengdu, in Sichuan Province, has also emerged as a hub for China’s expansion across the vast deserts and steppes of Central Asia, through the Belt and Road Initiative begun by China’s top leader, Xi Jinping. Freight trains from Chengdu have carried consumer electronics and other freight across Asia and Eastern Europe to markets in Western Europe for seven years.

Chengdu is also the closest American Consulate to Chongqing, a vast metropolis and manufacturing center. Chongqing has periodically been a center of Chinese political intrigue, most notably in 2012, when its leader, Bo Xilai, and his wife were arrested and later convicted of a range of offenses.

Mr. Bo’s police chief in Chongqing, Wang Lijun, fled to the American Consulate in Chengdu and took refuge there in 2012 when it became clear that Mr. Bo would be detained. The Obama administration subsequently handed Mr. Wang over to the Chinese authorities after determining that he was not eligible for asylum.
 
Marekani zama hizi anapata shida sana, zile enzi za kuoneana zimepitwa na wakati, anachofanya anajibiwa, kijinchi kidogo kama Venezuela anabakia kukipa mikwara mbuzi wakati wahuni wameshasema ww kama mbabe njoo uwone makombora ya kirusi yatakavyotua New York
... shenzi kweli wale! Hii imekaa vizuri; huu ndio mwelekeo sahihi.
 
Hawa jamaa wametengeneza na kusambaza Virusi kwa ajili mambo yao ya biashara sisi tupo tunashangilia tuu huko wanakoenda sio poa waathirika wakubwa ni Nchi masikini hizi ni bora wakae wamalize matatizo yao...
 
Marekani zama hizi anapata shida sana, zile enzi za kuoneana zimepitwa na wakati, anachofanya anajibiwa, kijinchi kidogo kama Venezuela anabakia kukipa mikwara mbuzi wakati wahuni wameshasema ww kama mbabe njoo uwone makombora ya kirusi yatakavyotua New York
Zile zama za kupigwa shavu la kulia ugeuze la kushoto zimeshaisha, sasa hivi ukipiga shavu la kulia jiandae kupigwa ngumi ya pua.
Anachokifanya mchina ndio lugha pekee anayoielewa Donald Trump.
 
Marekani anatapatapa apate pa kutokea . Rais wa Marekani hana sifa za kuongoza kwa hekima. Leo anarukia China ,Kesho Iran, Kesho kutwa Afghanistan mradi tuu kuleta hekaheka. Sasa anakabiliwa na matazizo makubwa mawali nchini mwake ,Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi , mauaji na uonezi wa police kwa raia hasa Wamarekani weusi. Na pili ni Kuenea kwa ugonjwa wa COVID19 nchini Marekani. Anatuhumiwa na Democrats kuwa ameshindwa kumaliza tatizo hilo. Hivyo anatafuta huruma ya Kisiasa kwa kuanzisha mgogoro ambao utaondoa chuki dhidi yake.
Hii ni aibu kwa Trump
 
Marekani zama hizi anapata shida sana, zile enzi za kuoneana zimepitwa na wakati, anachofanya anajibiwa, kijinchi kidogo kama Venezuela anabakia kukipa mikwara mbuzi wakati wahuni wameshasema ww kama mbabe njoo uwone makombora ya kirusi yatakavyotua New York
Marekani kazi yake kuwaonea waarabu tu.
 
Hawa jamaa Wachina huwa siwaelewi kabisa. Wabinafsi mno. Wao wamezuia mitandao mingi ya Ulaya kwa kisingizio cha usalama, WhatsApp, Google Play, Google map na mitandao kibao wamezipiga pin kwa kisingizio cha security. Halafu wanataka tu trend na ka Tik Tok zao na hizo products zao kama Huawei, ambapo nao wakisingiziwa issue za security wanang'aka. Hawatamsahau Trump.

... shenzi kweli wale! Hii imekaa vizuri; huu ndio mwelekeo sahihi.
 
China kuwafungia US ndo wanapata hasara kwahiyo wanajikomoa
 
Back
Top Bottom