china

  1. CRI Swahili

    JamiiForums Tanzania China: Rais Xi Jinping asisitiza kuendelea na msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

    Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo. Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Miradi ya maendeleo China -Uganda inagusa wananchi moja kwa moja

    Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya mtandao yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa Uchumi wa China

    Baada ya kudhibitiwa kwa kuenea kwa virusi vya Corona, uchumi wa China umeaanza kufufuka kwa kasi. Na manunuzi mtandaoni yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa uchumi. Mjini Shanghai, takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Mei, thamani ya manunuzi kupitia mtandao wa internet imefikia takriban Yuan...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozaji Safari wa BeiDou wa China utaathiri kivipi maisha ya Muafrika?

    China Jumanne ilirusha satilaiti ya mwisho ya Mfumo wa kuongozea wa BeiDou(BDS), ambapo inaonesha kukamilika kwa uendelezaji wa mfumo huo nchini, miaka 26 baada ya ujenzi wa BeiDou-1 kuanza rasmi mwaka 1994, na kuwa mmoja kati ya mifumo minne ya mtandao wa uongozaji duniani, ikiwa sambamba na...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Siri ya China ya kufanikiwa haraka kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona

    Baada ya kesi mpya za Corona kuripotiwa tena mjini Beijing, Tianjin, mji uliopo umbali wa kilomita 100 nje ya Beijing pia ilishuhudia kesi moja mpya. Cha kushangaza ni kuwa majibu ya vipimo vya nucleic acid kwa watu na vitu vyote alivyovigusa mgonjwa huyu vilikuwa ni hasi. Je, aliambukizwa vipi...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yaingia katika ushindani wa ‘navigation satellite system’ kwa kurusha satelaiti ya mwisho

    Leo Juni 23, China imezindua satelaiti yake ya mwisho kukamilisha mfumo wa ‘Geolocation’ unaoitwa BeiDou Navigation Satellite System (BDS) Satelaiti hiyo iliyopewa jina la BeiDou-3GEO3, itakamilisha mfumo wa mtandao katika soko lenye ushindani wa mitandao kama GPS wa Marekani, GLONASS wa Urusi...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China inavyopambana kumuweka mwanamke kwenye ngazi za juu za uongozi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu na uwezo wa kufanya chochote kile ambacho amedhamiria kufanya. Ndio maana wanasema ukimfundisha mwanamke mmoja ni sawa na kuifunza jamii nzima. Lakini ni wazi kwamba mwanamke yuko tofauti na mwanamme. Hata hivyo utofauti huu wa kimaumbile haufanyi iwe sababu ya...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

    Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla Taarifa yaendelea...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China atoa salamu kwa mkutano wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”

    Mkutano wa ngazi ya juu wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika leo hapa Beijing. Katika salamu zake kwa mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema, China inapenda kushirikiana na nchi nyingine kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja. Amesema maambukizi...
  11. Don YF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China cancels over 1000 flights, closes schools amid second wave of covid19

    China cancels over 1000 flights, closes schools to contain new wave of COVID-19 outbreak - China had reported at least 137 new cases of COVID-19 in the past six days and this has compelled the country to enforce new measures to prevent another full-blown crisis - Travell into and out of...
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China apinga kulifanya suala la COVID-19 kuwa la kisiasa na kibaguzi

    Rais Xi Jinping wa China leo amesema, ni lazima kudumisha nia ya kusimamia mfumo wa pande nyingi. Na katika janga hili la COVID-19, mshikamano na ushirikiano ni silaha yenye nguvu zaidi. Ameongeza kuwa China itashirikiana na Afrika kudumisha mfumo wa uongozi wa dunia ambao kiini chake ni Umoja...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi

    Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi tarehe 15. Hii ni mara ya kwanza kwa maonyesho haya kufanyika kwa njia ya mtandao Wafanyabiashara na wateja kutoka China na nchi za nje wanaweza kufanya biashara kutoka nyumbani Kauli...
  16. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kupaka matope kwa makusudi mabaya hakuwezi kukwamisha urafiki kati ya China na Afrika

    Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani Afrika zimeripoti watu laki 2.3 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, na idadi ya vifo...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kuendesha mkutano wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Mkutano huo umefanyika chini ya...
  20. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina walilia serikali yao waondolewe Kenya

    Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus. Wachina bahada ya kugundua njama...
Back
Top Bottom