Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,211
2,000
Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho.

Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo hicho cha haja kubwa kwa raia wake, hii ni baada ya baadhi kulalamika kuwa njia hiyo imekuwa ikiwasababishia maumivu ya kisaikolojia!

Kipimo hicho huhusisha kuingiziwa Katika njia ya haja kubwa kifaa CHENYE UREFU WA NCHI 2 chenye pamba nchani na KUZUNGUSHWA HUMO KWA NGUVU, njia ambayo inadaiwa kuwa ni rahisi na ya uhakika ya kugundua mgonjwa wa Covid-19 Ingawa hakuna nchi nyingine iliyobariki matumizi ya kipimo hicho.

Source: BBC NEWS
---

1614710304464.png

TOKYO (Reuters) - Tokyo has requested Beijing to stop taking anal swab tests for COVID-19 on Japanese citizens as the procedure causes psychological pain, a government spokesman said on Monday.

Chief Cabinet Secretary Katsunobu Kato said the government has not received a response that Beijing would change the testing procedure, so Japan would continue to ask China to alter the way of testing.

“Some Japanese reported to our embassy in China that they received anal swab tests, which caused a great psychologial pain,” Kato told a news conference.

It was not known how many Japanese citizens received such tests for the coronavirus, he said.

Some Chinese cities are using samples taken from the anus to detect potential COVID-19 infections as China steps up screening to make sure no potential carrier of the new coronavirus is missed.

China’s foreign ministry denied last month that U.S. diplomats in the country had been required to take anal swab tests for COVID-19, following media reports that some had complained about the procedure.

Source: Reuters
 

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,021
2,000
Now,this is too much.wameona corona haitosho ,Sasa wame amua walete pigo jingine.hicho kipimo ni zaidi ya adhabu aise.
 

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
1,956
1,500
Kama tunaambiwa tuvae barakoa ili kama mtu ana korona asiambukize mwingine kwa njia ya majimaji akiongea au akipiga chafya....basi kipimo rahisi ilikuwa kuchukua sampuli ya mate tu, au mimi ndio sielewi!!!
 

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
554
1,000
Wananchi wa Japan wanaokwenda China wameiomba serikali yao kuingilia kati kipimo cha Corona kupitia Mkundu, kwani kinawapa maumivu ya kisaikolojia. Zaidi;

Japan has asked China to stop taking anal swab tests for Covid-19 on its citizens when they enter the country.

Some have complained that the procedure caused them "psychological distress", officials say.

China, which has largely brought the virus under control, started carrying out anal swabs in January.

Last week, it denied it had required US diplomats to undergo such tests after US media reported some had complained about the procedure.

"Some Japanese reported to our embassy in China that they received anal swab tests, which caused great psychological pain," Chief Cabinet Secretary Katsunobu Kato said.

It was not known how many Japanese citizens received such tests, he added.

The tests are used on some of those quarantined or entering China, he also said, noting their use "has not been confirmed anywhere else in the world".

China had not so far responded to the request, he said, adding that the Japanese government had made the request through the embassy in Beijing.

China and the virus that threatens everything. A dazed city emerges from the harshest of lock-downs. Some Chinese cities have introduced anal swabs, with local experts claiming they can "increase the detection rate of infected people".

At the time of their launch, state media reported those tests had been "controversial among experts", and that they were far less efficient than tests in the upper respiratory tracts.

The existing tests were preferred, as they believe most people contract the virus orally, they said.

The tests involve inserting a cotton swab 3-5cm (1.2-2.0 inches) into the anus and gently rotating it.
 

Nsaji wa Lila

Senior Member
Feb 1, 2021
105
250
kumbe na wao wana-suffer kisaikolojia kutokana na kipimo hicho, nilidhani uoga ni kwetu tu sisi wabongo
 

Paramagamba

Member
May 12, 2017
85
150
Kama tunaambiwa tuvae barakoa ili kama mtu ana korona asiambukize mwingine kwa njia ya majimaji akiongea au akipiga chafya....basi kipimo rahisi ilikuwa kuchukua sampuli ya mate tu, au mimi ndio sielewi!!!
Hiyo ni njia moja China anaitumia kupinga hii corona ya kutengenezwa maabara. Si wanataka sana watu wapige corona basi nendeni sasa mkapime china.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom