China imesitisha ziara ya manowari ya Marekani na kuiwekea vikwazo asasi moja ya Kimarekani, ikiwa ni hatua ya kulipa kisasi kutokana na kusainiwa kwa muswada unaowaunga mkono waandamanaji wanaodai demokrasia mjini Hong Kong.
Mji huo wa Hong Kong ulio kitovu cha biashara, umekumbwa na machafuko...