• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

China: Watu 14 wafariki katika mlipuko uliotokea mgodini

Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
1,029
Points
2,000
Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
1,029 2,000
Watu14 wamefariki na Watu wengine saba wameokolewa huku wengine wawili wakiwa bado ndani ya mgodi huo wa Makaa ya Mawe na Gesi uliopo Kusini-Magharibi mwa China katika Mji wa Guizhou

Tukio hilo lililotokea mapema leo katika mgodi huo uitwao Guanglong ni moja ya matukio yanayotokea kwenye migodi nchini humo ambapo Kanuni za Usalama hufuatwa kwa ufinyu

Siku kadhaa zilizopita watu watano walifariki na 13 wakikwama chini ya mgodi baada ya maji kujaa kwenye mgodi uliopo Kusini-Magharibi mwa China kwenye mji wa Sichuan

Aidha, mwezi uliopita takriban watu 15 walifariki Kaskazini mwa China kwenye mji wa Shanxi kutokana na mlipuko ambapo Maafisa walisema ulisababishwa na kutofuatwa kwa Kanuni za Usalama
******

Fourteen miners were killed on Tuesday in a coal and gas blast at a mine in southwest China, with two people still trapped underground, authorities said.

The accident in the early hours of Tuesday is the latest in a series of mining incidents in China, where safety regulations are often poorly enforced.

Two people were still trapped underground after the explosion at Guanglong coal mine in Guizhou province, the Southwest Guizhou Autonomous Prefecture government said.

Seven workers were lifted to safety after the accident and rescue work was continuing, according to local authorities.

The accident in Guizhou came days after flooding in a mine in southwest China's Sichuan province killed five and trapped 13 miners underground.

State broadcaster CCTV said 347 miners were working underground at the Shanmushu coal mine owned by Sichuan Coal Industry Group in Gongxian county when the mine flooded on Saturday.

Last month at least 15 were killed in a blast in north China's Shanxi province, which an official said was caused by activity that "broke the law and regulations".

At a meeting in November, the State Council - China's cabinet - ordered a "special crackdown on production-related safety issues" to "further improve workplace safety", state media reported.
 

Forum statistics

Threads 1,406,597
Members 532,389
Posts 34,520,598
Top