Algeria yatunisha msuli kwa bidhaa za China nchini Tanzania

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,025
21,941
Sikuwahi kufikilia nchi mojawapo ya ukanda wa kaskazini ku-export bidhaa nchini Tanzania, hususani bidhaa ya simu.

Leo naona simu yenye uwezo wa kasi ya 4G inayopigiwa kelele na makampuni ya mitandao nchini ikizalishwa nchini Algeria na kuanza kupokeewa kwa mikono miwili.

Bidhaa zilizoeleka kutoka PRC na kuuzwa kulingana na bei ya mlaji. Sijui kama Algeria atamuweza mchina au ndiyo zile simu za majaribio.

Tanzania tujifunze hapa hasa katika awamu hii ya kurutubisha viwanda.

20191121_091059.jpg
 
Wanaanzaga hivi hivi halafu inakuja kuwa balaa baada ya miaka 15.

Watu hawajui kama Tecno ni assembled in Nigeria made in China . Hapo wanatafuta msuli tu wahamishie kabisa kiwanda nchini kwao.

Sisi tuna bahati mbaya, the Late Mengi alikuwa kwenye mchakato kabambe kabisa wa kuibuka na bidhaa hii, sijui ingeitwa parachichi au mbege I don't know.
 
Mzee pia alikuwa na malengo ya ku assemble magari. Haya nadhani yangeitwa "Mtori"
 
Back
Top Bottom