china

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yakasirishwa na hatua ya Trump kuunga mkono waandamanaji Hong Kong

    Serikali ya China imemuita Alhamis balozi wa Marekani mjini Beijing, ikipinga vikali hatua ya Rais Donald Trump ya kusaini miswada ya haki za binadamu ikiunga mkono waandamanaji nchini Hong Kong. Rais Trump Jumatano alitia saini miswada miwili tofauti inayounga mkono waandamanaji wanaounga...
  2. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Former CIA agent sentenced to 19 years in prison for conspiracy with China

    Former CIA agent sentenced to 19 years for conspiracy with China Jerry Chun Shing Lee was accused of delivering secrets to Chinese intelligence officers in exchange for $840,000 A former CIA case agent was sentenced on Friday to 19 years in prison, for an espionage conspiracy with China...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Algeria yatunisha msuli kwa bidhaa za China nchini Tanzania

    Sikuwahi kufikilia nchi mojawapo ya ukanda wa kaskazini ku-export bidhaa nchini Tanzania, hususani bidhaa ya simu. Leo naona simu yenye uwezo wa kasi ya 4G inayopigiwa kelele na makampuni ya mitandao nchini ikizalishwa nchini Algeria na kuanza kupokeewa kwa mikono miwili. Bidhaa zilizoeleka...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yazindua rasmi utafiti na maendeleo ya 6G

    Uchina imeanzisha ofisi mbili ili kuleta kasi ya 6G, kulingana na Wizara ya Sayansi na Teknolojia, ikiondoa mashindano kwa huduma ya data ya kizazi kijacho inayokuja baada ya kasi ya 5G. Wizara hiyo ilisema kwenye wavuti yake kwamba moja ya ofisi hizo zina maafisa wa serikali wanaohusika na...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sera iliyopitishwa na China ya kuzuia watu kuzaa mtoto zaidi ya mmoja

    Baada ya Kujua shida ambayo ingeletwa katika siku zijazo kutokana na ongezeko la watu, kati ya 1955-1957 Kiongozi Mkuu wa China, Mao Zedong baada ya kujadili suala hilo na kushawishiwa na Mchumi maarufu na Rais wa Chuo cha Peking aliamua kuanzisha sera ya kitaifa ya kupanga uzazi Mnamo mwaka...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

    Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote. --------------------------------- China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Wakuu!! Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea. Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania China yazindua 5G technology nchi nzima. Mitandao yote ya simu kutoa 5G kuanzia Ijumaa

    Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Only one Kenyan company makes the cut for China avocado sales

    October 30, 2019 Nairobi, Kenya Months after Kenya signed a deal to export avocados to China, a shocking revelation has emerged showing that only 1 out of every 100 companies can actually export the products to the emerging super power. Out of over 100 firms, only one has met the requirements...
  10. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China Jack Ma kupambana kimasumbwi na bondia Floyd Mayweather Jr

    Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd Mayweather Jr.! Naombea hii "bout" iwe ya ukweli na vile vile pesa zitakazo patikana ziende kwenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

    Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China. Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar. Source Eatv habari!
  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania supports China on Hong Kong crisis, blames Western media

    Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong. Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five...
  13. benjamathayo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

    Mabaharia wafanyabiashara nimepata mpunga kidogo kama 20m kwamara yakwanza nataka kwenda dubai au china kununua simu hasa smartphone Nimekuja kwenu kuomba ushauri mliowahi kwenda china au dubai kununua simu au vifaa vyaumeme naomba munieleweshe 1-Gharama zandege kwenda nakurudi 2-Nisehemu ipi...
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

    Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls Thursday May 23 2019 IN SUMMARY In 2013, Tanzania signed a framework agreement with China Merchants Holdings International to build the port and a special economic zone. But Tanzaia says the conditions given are not economically viable, hence it...
  15. AjiraLeo

    JamiiForums Tanzania HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA - CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za usafiri ▪Fedha Za Kujikimu ▪Gharama Za Mafunzo ▪Gharama Za Matibabu ▪Utalipiwa Ada ▪Fedha Ya...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

    Serikali imesitisha mazungumzo na wawekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, Mradi ambao ungegharimu Tsh. Trillion 23. Wawekezaji katika mradi huo walikuwa ni China Merchant Holdings International Limited (CMHI) na State General Reserve Fund (SFRF) ya Oman. ====== The government admitted yesterday...
  17. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Bilionea wa China Jacky Ma yupo nchini Tanzania

    Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
  19. Papa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wachina wanavyopata viungo vya binadamu kwa ajili ya upandikizaji

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma kitabu kinaitwa The Slaughter: Mass Killings, Organ Harvesting, and China's Secret Solution to Its Dissident Problem. Kitabu hiki kimeandikwa na bwana Ethan Gutmann huyu ni mwandishi wa habari za uchunguzi. Kitabu hiki alikitoa mwaka mmoja baada ya ripoti...
Back
Top Bottom