Waislamu watakiwa kususia bidhaa za China kuwahurumia wenzao wa Uighur

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,166
10,897
Waislamlu kote duniani wamesisitizwa kuonesha umoja wao na nguvu zao kiuchumi kwa kuacha kununua bidhaa za China nchi ambayo imewaweka kuzuizini waislamu wapatao milioni 3 kati ya waislalmu wanaokisiwa kufikia milioni 10 wa jimbo la Magharibi ya China la Uighur.

Wito huo umetolewa na mmoja ya maulamaa wakubwa wa Malaysia sheikh Mohd Asri bin Zainul Abidin katika mkutano wa nchi za kiislamu unaofanya Kuala Lumpar nchini humo ulioitishwa na kiongozi wa nchi hiyo Mahattir Mohammed na ambao umehudhuriwa na viongozi kadhaa wa nchi na jumuiya za kiislamlu kote ulimwenguni.

Hata hivyo baadhi ya nchi za kiislamu ikiwemo Saudia hawakuhudhuria mkutano huo wakiuona kama ni juhudi nyingine za kupingana na jumuiya kongwe ya nchi za kiislamu ijulikanayo kama The Organization of Islamic Countries (OIC) yenye makao makuu yake Jeddad nchini Saudia
 
Inawezekana kususia wote na bado tukaishi,
Never ever hamtaweza katu!
Barabara za Tanzania asilimia kubwa zimejengwa kwa ufadhili, au wakandarasi kutoka China mfano Dar - Mwanza -Musoma.
Dar -Kahama - Bukoba.
.
Bidhaa za kielekitroniki zote ulizonazo kwako zote zimetoka China huwezi kubisha mpaka simu unayotumia.
Internet facilities zote za Tanzania zinatoka China.

Yaaani mtakufa vibudu 😝😝😝
 
Back
Top Bottom