Former CIA agent sentenced to 19 years in prison for conspiracy with China

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Former CIA agent sentenced to 19 years for conspiracy with China

Jerry Chun Shing Lee was accused of delivering secrets to Chinese intelligence officers in exchange for $840,000

A former CIA case agent was sentenced on Friday to 19 years in prison, for an espionage conspiracy with China.

Jerry Chun Shing Lee, 55, was sentenced in federal court in Alexandria, Virginia, after his guilty plea to conspiracy to commit espionage.

Prosecutors and defense lawyers disagreed about the extent of the crime.

Prosecutors said Chinese intelligence officers gave Lee more than $840,000 (£655,000) and Lee probably gave them all the information he had from 13 years as a CIA case officer. They sought a prison term of more than 20 years.

Defense lawyers said the government never proved the money came from China or that Lee carried out any plans to deliver secrets. They sought a 10-year sentence.

Lee’s lawyers noted that Lee admitted that he agreed to engage in an espionage conspiracy with China, but never admitted that he actually divulged any secrets.

“What the government is describing is their worst possible nightmare,” said defense lawyer Nina Ginsberg.

Prosecutors acknowledged they had no direct evidence to prove what was transmitted, nor proof that the $840,000 Lee deposited into his bank account over a three-year period came from China.

But they said Lee was never able to come up with a good explanation. He ran a tobacco business in Hong Kong but it was essentially a failure, they said.

“The only logical conclusion,” said prosecutor Neil Hammerstorm, is that Chinese intelligence “must have been getting top-drawer, high-quality [information] from this defendant”.

Prosecutor Adam Small said the government believes Lee turned over information found in a notebook and USB drive as part of the government’s investigation. That included the names of eight CIA clandestine human sources, Small said, people Lee recruited and handled from 1994 to 2007.

Small said Chinese intelligence officers who met Lee gave him more than 20 “taskings” in which they sought details of CIA spycraft.

“Everything he knew would have been highly valuable to the PRC,” Small said.

Ginsberg said there was no evidence any of the sources identified in the notebook were harmed or compromised.

“I dare to say the government would certainly know if their agents had been exposed,” Ginsberg said.

Small countered that the risk of harm from Lee’s conduct was grave, and “whether something has or has not occurred is in some ways irrelevant”.

The biggest clue to the depth of Lee’s betrayal, prosecutors said, was the amount of money they said he received, which dwarfed what other spies have received.

Prosecutors pointed to the recent case of Kevin Mallory, a former CIA officer sentenced to 20 years for disclosing secrets to China in exchange for just $25,000 (£19,500).

“I take full responsibility for my conduct,” said Lee, a naturalized US citizen who immigrated to Hawaii from Hong Kong when he was 15.

1574525265248.png

Jerry Chun Shing Lee.

Source: The Guardian | BBC
 
Huyo jamaa China watakuwa wanamuandalia hela nyingi sana akimaliza kifungo

Ila nae hazimtoshi kweli unacollude vipi na wachina wakati upo kwenye CIA adui mkubwa wa China na wewe unayo sura ya Kichina, jina la Kichina na lazima walijua Wanahitaji kukuchunguza wakati wanakuajiri
 
Kumbe na wao mishahara haitoshi?ila ni hatari sana,imagine jamaa anawataja ma agent wa USA waliopo China si wanaweza kuuawa kabisa
 
Kumbe na wao mishahara haitoshi?ila ni hatari sana,imagine jamaa anawataja ma agent wa USA waliopo China si wanaweza kuuawa kabisa
Huyu alishastaafu kazi cia mwaka 2007 na akarudi hong kong kufanya shughuli zake binafsi. Akiwa huko akafuatwa na intelligence officers wa kichina na kumuahidi watampa pesa ya kutosha awaibie siri ya cia operations nchini china.

Hii ilishtukiwa mwaka 2012 baada ya informants wengi wa cia kuuwawa wakiwa china tena wengine mchana kweupe kwa kupigwa risasi ndio fbi wakaanza uchunguzi, mwisho wakafanya kitu kinaitwa ikawa zeroed kwa huyu mshikaji, wakaanza kumchunguza kuanzia hongkong, virginia, siku moja wakavamia chumba chake cha hotel bila yeye kujua, wakakagua begi lake na kukuta ana note book ya majina ya watu waliokua anafanya nao kazi kabla hajaacha kazi cia, majina yao halisi na contacts zao na locatio, usb na vitu kadhaa ambavyo aliposaafu hakuvikabidhi cia, fbi walimhoji kuhusu hizo mambo akakataa kua hana information yoyote.

Mbaya zaidi akawa anakutana na washkaji zake wa zamani wa cia ambao bado wanafanya kazi huku akijua alishahongwa na wachinana hakuwaambia chochote.

Huyo alitakiwa kunyongwa, alisaini plea deal asamehewe kifo kwa kifungo kirefu kwa kukiuka kitu kinaitwa life time non disclosure agreements alizosaini mwaka 1994 alipoajiriwa cia .
 
Kevin Malloy katisha, 25,000 Usd unauza siri za Nchi!!!
Huwa wanauza kwa fedaha ndogo sana afadhali hata huyo kuna mwingine yeye alijikuta antoa siri za CIA kwa serikali ya ghana kwa kunogewa na penzi la agent wa kighana kwa kifupi kazi ya spy huwa ni kutafuta siri na kutunza siri ni kazi kama uandishi wa habari tofauti mwingine anatoa mwingine anatunza au kuzifanyia kazi kwa usiri, huyo kachukua ndefu mtu alipewa kiasi kidogo kuliko hicho akapeleka michoro ya aircraft carrier kwa wachina kisa tu walikuwa wanamdharau kwa vile kanenepeana sana,kwa kifupi siri hutoka kwa sababu tofauti ikiwemo blackmail
 
Huyu alishastaafu kazi cia mwaka 2007 na akarudi hong kong kufanya shughuli zake binafsi. Akiwa huko akafuatwa na intelligence officers wa kichina na kumuahidi watampa pesa ya kutosha awaibie siri ya cia operations nchini china.

Hii ilishtukiwa mwaka 2012 baada ya informants wengi wa cia kuuwawa wakiwa china tena wengine mchana kweupe kwa kupigwa risasi ndio fbi wakaanza uchunguzi, mwisho wakafanya kitu kinaitwa ikawa zeroed kwa huyu mshikaji, wakaanza kumchunguza kuanzia hongkong, virginia, siku moja wakavamia chumba chake cha hotel bila yeye kujua, wakakagua begi lake na kukuta ana note book ya majina ya watu waliokua anafanya nao kazi kabla hajaacha kazi cia, majina yao halisi na contacts zao na locatio, usb na vitu kadhaa ambavyo aliposaafu hakuvikabidhi cia, fbi walimhoji kuhusu hizo mambo akakataa kua hana information yoyote.

Mbaya zaidi akawa anakutana na washkaji zake wa zamani wa cia ambao bado wanafanya kazi huku akijua alishahongwa na wachinana hakuwaambia chochote.

Huyo alitakiwa kunyongwa, alisaini plea deal asamehewe kifo kwa kifungo kirefu kwa kukiuka kitu kinaitwa life time non disclosure agreements alizosaini mwaka 1994 alipoajiriwa cia .
Hapo nimeelewa,huo aliofanya ni uhaini,kumbe alisababisha vifo vya wenzake wengi kwa tamaa ya pesa aisee
 
Hapa watu twaongelea watu 2 tofauti. Kelvin Mallory ni Mmarekani alikamatwa airport na hela 16500usd ambazo hakuzideclare. Alipopekuliwa simu ikapatikana yenye jumbe kati yake na handler wake wa kichina. Hakutoa siri ila alikuwa wameanza approach
 
Daah basi kuna loop holes nyingi sana kwa CIA kwa hali hii hawa China wanaopenda mtelezo watafaidika sana na Siri nyingi za US ambazo zimewafanya kufika hapo walipo, kuna haja ya US kukazia kwenye uzalendo kwa maagent wake kama kwa wenzao China Sijawai kusikia case kama hizi zimetokea kwa china
 
Back
Top Bottom