Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
Wadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa
Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550
Swali ni Je, ikitokea ukachoma then ukapoteza cheti inabidi ujipange upya kugongwa nyingine au inakuwaje?
wataalamu plz help