SoC01 Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

Stories of Change - 2021 Competition
Aug 7, 2019
2
1
WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO.

HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA NIKIWA NA IMANI KABISA KWAMBA HAKUNA JAMII AMBAKO HAKUNA MWANACHUO KWA SASA.

LENGO KUBWA LA MADA HII NI KUFANYIWA MABORESHO KWA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU NCHINI PAMOJA NA TAASISI NYINGINE ZA KUTOA MIKOPO NCHINI NA MABORESHO HAYO YAWE KAMA IFUATAVYO.

WANAFUNZI WOTE WA VYUO HASA WALE WALIOTHIBITHISHWA KUTOKA KATIKA JAMII MASIKINI WAPEWE MIKOPO HII IKIJUMUISHWA PAMOJA NA VYUO VYA UFUNDI NA VYUO VYA BINAFSI

MIKOPO YA WANAFUNZI IWE KATIKA MIGAWANYO MIWILI AMBAYO NI
a. Mkopo wa kugharamia masomo yake pamoja na kujikimu na iwe ni kwa silimia 100
b. Mkopo usiohamishika ambao mwanafuzi atatakiwa kuandika wazo andiko mradi/wazo la kibiashara na huo utakua ndio mtihani wa kupata mkopo wake pindi atakapomaliza masomo

CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA KWA MHITIMU WA CHUO KIKUU KUWEZA KUPATA MIKOPO

KATIKA MADA HII NITAZUNGUMZIA SANA KIPENGELE CHA PILI NA CHA TATU IKIWA NI KUANGAZIA NI FAIDA GANI ZITAKAZOPATIKANA ENDAPO KIPENGELE CHA PILI NA CHATATU KITAINGIZWA KATIKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI

Mkopo usiohamishika ambao unaingia kwenye akaunt ya mwanachuo ambayo hawezi kuutoa wala kuutumia mpaka atakapomaliza elimu yake ya chuo na atakapomaliza atapaswa kuandika andiko mradi au wazo la biashara kuendana na kiwango cha mkopo kitakachokua kwenye akaunti yake.
Andiko mradi au wazo lake la biashara linatakiwa lihakikiwe na likaguliwe na viongozi wa chuo ambao watakua na utaalamu wa kukagua maandiko miradi au mawzo ya biashara kabla ya kuidhinisha.
Kabla ya kuruhusu mwaanafunzi kuweza kuchukua mkopo huo ni lazima kuwe na viongozi ambao wanaweza kwenda kukagua eneo la mwanafunzi atakapofanyia mradi endapo atakua amaeainisha sehemu maalumu atakapofania mradi wake au biashara yake,
Mwanafunzi atatakiwa kujaza fomu maalumu ambayo itakua na wadhamini watatu pamojqa na kiapo cha mahakama kama inavyofanyika katika fomu ya kuomba mkopo wa kugharamia masomo.
Bodi ya mikopo itatakiwa kutengeneza mfumo maalumu ambapo mkopo huo utakua unarejeshwa baada ya miezi sita baada ya mwanafuzi kuanza mradi au biashara na utaingia moja kwa moja kwenye akaunti ya bodi hiyo
Riba iwe rafiki kwa wanufaiuka wote ili kuwezesha wahitimu kuimudu na kuweza kurejesha kwa wakati
FAIDA ZA MKOPO HUU KWA WAHITIMU
  1. Kuweesha wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri kwa zaidi ya asilimia 50
  2. Kuongeza pato la jamii
  3. Kuborsha mfumo wa maisha kwa jamii nzima kwa kuaminini kuwa vijana hasa wa vyuo vikuu ni taa angavu inayoweza kuimulika jamii nzima.
  4. Kupunguza mzigo wa ukosefu wa ajira ka serikaliKupunguza ongezeko la vijana wanozurura mtaani bila kazi maalumu pia kupunguza kutokea kwa matendo ya kihalifu kama vile wizi na utapeli
  5. Kupunguza idadi ya watu wanaojihusisha na biahara haramu pamoja na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya.
SIFA ZA KUZINGATIA ZA ANDIKO MRADI AU WAZO LA KIBIASHARA KWA WANUFAIKA.
1. Liwe linatekelezeka ndani ya miezi sita
2. Liwe linaendana na kiasi ambacho mnufaika ameelekezwa kwamba kinapatikana kwenye akaunti yake
3. Wanufaika waonyeshe idadi ya waajiriwa ambao mradi wake au iashara yake itawanufaisha
4. Mhitimu aonyeshe ni jinsi gani mradi wake utaleta manufaa ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja kwa jamii inayomzunguka.
5.mhitimu aonyeshe ni ubunifu gani atakaoleta katika mradi au biashara yake na huo ubunifu utaisaidia vipi jamii inayomzunguka nataifa kwa jumla.Vigezo vingi vitawekwa na wasimamizi wa maandiko mradi katika vyuo husika.
NINI KIFANYIKE KATIKA VYUO VYOTE KWA WANAFUNZI WOTE WANAONUFAIKA NA MIKOPO HII
1. Waandaliwe walimu maalumu wanaoweza kufundisha na kukagua maandiko mradi na mawazo ya biashara katika vyuo vyote nchini tanzania.
2. Somo la andiko mradi/wazo la biashara lifundishwe kwa vyuo vyote nchini
3. Mwanafunzi atatikiwa kufaulu somo hilo na kigezo hicho ndio kitakachomuwezesha kutoa mkopo kwenye akaunti yake.
4. Bodi kwa kushirikiana na idara za serikali iandae watu maalumu watakaokua wanafuatilia mienendo na miradi ya wanufaika wote ikiwa ni pamoja kuwakagua na kuwashauri kuendana na biashara zao.
5. Itengenezwe sheria maalumu ambayo kwa ajili ya kusimamia miradi na mawazo ya biashara itakayoanzishwa na wanufaika wapewe utaratibu maalumu wa kurejesha mikopo yote katika kipindi chote cha biashara zao

CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA KWA MUHITMU WA CHUO KIKUU KUPATA MKOPO.

1.Cheti cha chuo ni uthibithisho wa kutosh unaonesha kwamba mwanafunzi amewajibika katika masomo yake na kufanikiwa kutunukiwa cheti ambacho ni kama tuzo ya kuhitimu na kufaulu hivyo ni vizuri kutumika kama dhamana kwa sababu zifuatazo

2.Mwanafunzi ametumia gharamma kubwa kupata cheti hicho ikikwa ni pamoja na mkopo kutoka kwenye bodi ya mikopo
3.Ni muhimu kwa sababu cheti kitahitajika katika kazi hivyo ni muhimu mwanafunzi 4.kukikomboaKatika kupata cheti hicho kua watu muhimu wamesimama nyuma ya mwanfunzi wakiwemo walimu wake wa chuo pamoja na bodi iliyokua inamdhamini

NINI KIFANYIKE KWA SERIKALI

Serikali itenge kitengo maalumu ambacho kitakua kinapokea vyeti vya wanafunzi na kuwawezesha na hii ni baada muhitimu kuainisha kwamba mkopo huo anaomba kwa ajili ya kufanya biashara gani sehemu gani na kwa wakati gani

Kuwe na mdhamini wa pembeni ambae atakua anamfahamu vizuri mwombaji a mkopo huo

Kiapo maalumu kutoka mahakamani kwamba mnufaika atarejesha mkopo kwa wakati husika ili kutoa fusa kwa wadau wengine kunufaika na fursa hii.

Serikali iwe inawafuatilia wahitiumu wote aliokopa mikopo hiyo ikiwa ni paoja na kuwapa elimu na ushauri kwenye miradi/biashara zao pamoja na kuwaeleza umuhimu wa kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.

Ni jukumu la serikali kutengeneza njia nzuri za urejeshaji wa mikopo hiyo pia ni muhimu kukawekwa ongezeko la riba endapo mnufaika atashindwa kurejesha mkopo kwa wakati bila kuorodhesha sababu za msingi.

Wanufaika wote waorodheshwe katika mfumo ambao endapo atapata ajira basi mkopo huo utalazimika kukatwa kwenye mshahara wake.

NI MATUMAINI YANGU KWAMBA MADA HII ITAJADILIWA NA KUPIGIWA KURA KWA LENGO LA KUIFIKISHA SEHEMU HUSIKA KWA MINAJILI YA KUBORESHA KIZAZI CHETU NA KUONDOA KABISA RUNDO LA VIJANA WANAOSAMBAA MITAANI BILA AJIRA

  • Pia kuondoa ile kauli ambayo ukimwambia muhitimu wa chuo “jiajiri” anakujibu “sina mtaji”
  • Ni matumaini yangu kwamba endapo mabadiliko haya yatafanyika basi kutakua na muamko mkubwa wa vijana kuwajibika na kupunguza mzigo mkbwa wa utegemezi kutoka kwa serikali na kwa ndugu jamaa na marafiki
  • Pia ni matumaini yangu kwamba endapo mabadiliko haya yatafanyiwa kazi tutapnguza kiwango kikubwa cha umaskini

  • AHSANTENI NAOMBA KUWASILISHA.
 
WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO.

HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA NIKIWA NA IMANI KABISA KWAMBA HAKUNA JAMII AMBAKO HAKUNA MWANACHUO KWA SASA.

LENGO KUBWA LA MADA HII NI KUFANYIWA MABORESHO KWA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU NCHINI PAMOJA NA TAASISI NYINGINE ZA KUTOA MIKOPO NCHINI NA MABORESHO HAYO YAWE KAMA IFUATAVYO.

WANAFUNZI WOTE WA VYUO HASA WALE WALIOTHIBITHISHWA KUTOKA KATIKA JAMII MASIKINI WAPEWE MIKOPO HII IKIJUMUISHWA PAMOJA NA VYUO VYA UFUNDI NA VYUO VYA BINAFSI
MIKOPO YA WANAFUNZI IWE KATIKA MIGAWANYO MIWILI AMBAYO NI
a.Mkopo wa kughramia masomo yake pamoja na kujikimu na iwe ni kwa silimia 100
b.mkopo usiohamishika ambao mwanafuzi atatakiwa kuandika wazo andiko mradi/wazo la kibiashara na huo utakua ndio mtihani wa kupata mkopo wake pindi atakapomaliza masomo
CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA KWA MHITIMU WA CHUO KIKUU KUWEZA KUPATA MIKOPO

KATIKA MADA HII NITAZUNGUMZIA SANA KIPENGELE CHA PILI NA CHA TATU IKIWA NI KUANGAZIA NI FAIDA GANI ZITAKAZOPATIKANA ENDAPO KIPENGELE CHA PILI NA CHATATU KITAINGIZWA KATIKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI

Mkopo usiohamishika ambao unaingia kwenye akaunt ya mwanachuo ambayo hawezi kuutoa wala kuutumia mpaka atakapomaliza elimu yake ya chuo na atakapomaliza atapaswa kuandika andiko mradi au wazo la biashara kuendana na kiwango cha mkopo kitakachokua kwenye akaunti yake.
Andiko mradi au wazo lake la biashara linatakiwa lihakikiwe na likaguliwe na viongozi wa chuo ambao watakua na utaalamu wa kukagua maandiko miradi au mawzo ya biashara kabla ya kuidhinisha.
Kabla ya kuruhusu mwaanafunzi kuweza kuchukua mkopo huo ni lazima kuwe na viongozi ambao wanaweza kwenda kukagua eneo la mwanafunzi atakapofanyia mradi endapo atakua amaeainisha sehemu maalumu atakapofania mradi wake au biashara yake,
Mwanafunzi atatakiwa kujaza fomu maalumu ambayo itakua na wadhamini watatu pamojqa na kiapo cha mahakama kama inavyofanyika katika fomu ya kuomba mkopo wa kugharamia masomo.
Bodi ya mikopo itatakiwa kutengeneza mfumo maalumu ambapo mkopo huo utakua unarejeshwa baada ya miezi sita baada ya mwanafuzi kuanza mradi au biashara na utaingia moja kwa moja kwenye akaunti ya bodi hiyo
Riba iwe rafiki kwa wanufaiuka wote ili kuwezesha wahitimu kuimudu na kuweza kurejesha kwa wakati
FAIDA ZA MKOPO HUU KWA WAHITIMU
  1. Kuweesha wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri kwa zaidi ya asilimia 50
  2. Kuongeza pato la jamii
  3. Kuborsha mfumo wa maisha kwa jamii nzima kwa kuaminini kuwa vijana hasa wa vyuo vikuu ni taa angavu inayoweza kuimulika jamii nzima.
  4. Kupunguza mzigo wa ukosefu wa ajira ka serikaliKupunguza ongezeko la vijana wanozurura mtaani bila kazi maalumu pia kupunguza kutokea kwa matendo ya kihalifu kama vile wizi na utapeli
  5. Kupunguza idadi ya watu wanaojihusisha na biahara haramu pamoja na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya.
SIFA ZA KUZINGATIA ZA ANDIKO MRADI AU WAZO LA KIBIASHARA KWA WANUFAIKA.
1.liwe linatekelezeka ndani ya miezi sita
2.liwe linaendana na kiasi ambacho mnufaika ameelekezwa kwamba kinapatikana kwenye akaunti yake
3. Wanufaika waonyeshe idadi ya waajiriwa ambao mradi wake au iashara yake itawanufaisha
4.mhitimu aonyeshe ni jinsi gani mradi wake utaleta manufaa ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja kwa jamii inayomzunguka.
5.mhitimu aonyeshe ni ubunifu gani atakaoleta katika mradi au biashara yake na huo ubunifu utaisaidia vipi jamii inayomzunguka nataifa kwa jumla.Vigezo vingi vitawekwa na wasimamizi wa maandiko mradi katika vyuo husika.
NINI KIFANYIKE KATIKA VYUO VYOTE KWA WANAFUNZI WOTE WANAONUFAIKA NA MIKOPO HII
1. Waandaliwe walimu maalumu wanaoweza kufundisha na kukagua maandiko mradi na mawazo ya biashara katika vyuo vyote nchini tanzania.
2.Somo la andiko mradi/wazo la biashara lifundishwe kwa vyuo vyote nchini
3.Mwanafunzi atatikiwa kufaulu somo hilo na kigezo hicho ndio kitakachomuwezesha kutoa mkopo kwenye akaunti yake.
4.Bodi kwa kushirikiana na idara za serikali iandae watu maalumu watakaokua wanafuatilia mienendo na miradi ya wanufaika wote ikiwa ni pamoja kuwakagua na kuwashauri kuendana na biashara zao.
5.Itengenezwe sheria maalumu ambayo kwa ajili ya kusimamia miradi na mawazo ya biashara itakayoanzishwa na wanufaika wapewe utaratibu maalumu wa kurejesha mikopo yote katika kipindi chote cha biashara zao

CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA KWA MUHITMU WA CHUO KIKUU KUPATA MKOPO.

1.Cheti cha chuo ni uthibithisho wa kutosh unaonesha kwamba mwanafunzi amewajibika katika masomo yake na kufanikiwa kutunukiwa cheti ambacho ni kama tuzo ya kuhitimu na kufaulu hivyo ni vizuri kutumika kama dhamana kwa sababu zifuatazo

2.Mwanafunzi ametumia gharamma kubwa kupata cheti hicho ikikwa ni pamoja na mkopo kutoka kwenye bodi ya mikopo
3.Ni muhimu kwa sababu cheti kitahitajika katika kazi hivyo ni muhimu mwanafunzi 4.kukikomboaKatika kupata cheti hicho kua watu muhimu wamesimama nyuma ya mwanfunzi wakiwemo walimu wake wa chuo pamoja na bodi iliyokua inamdhamini

NINI KIFANYIKE KWA SERIKALI

Serikali itenge kitengo maalumu ambacho kitakua kinapokea vyeti vya wanafunzi na kuwawezesha na hii ni baada muhitimu kuainisha kwamba mkopo huo anaomba kwa ajili ya kufanya biashara gani sehemu gani na kwa wakati gani

Kuwe na mdhamini wa pembeni ambae atakua anamfahamu vizuri mwombaji a mkopo huo

Kiapo maalumu kutoka mahakamani kwamba mnufaika atarejesha mkopo kwa wakati husika ili kutoa fusa kwa wadau wengine kunufaika na fursa hii.

Serikali iwe inawafuatilia wahitiumu wote aliokopa mikopo hiyo ikiwa ni paoja na kuwapa elimu na ushauri kwenye miradi/biashara zao pamoja na kuwaeleza umuhimu wa kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.

Ni jukumu la serikali kutengeneza njia nzuri za urejeshaji wa mikopo hiyo pia ni muhimu kukawekwa ongezeko la riba endapo mnufaika atashindwa kurejesha mkopo kwa wakati bila kuorodhesha sababu za msingi.

Wanufaika wote waorodheshwe katika mfumo ambao endapo atapata ajira basi mkopo huo utalazimika kukatwa kwenye mshahara wake.

NI MATUMAINI YANGU KWAMBA MADA HII ITAJADILIWA NA KUPIGIWA KURA KWA LENGO LA KUIFIKISHA SEHEMU HUSIKA KWA MINAJILI YA KUBORESHA KIZAZI CHETU NA KUONDOA KABISA RUNDO LA VIJANA WANAOSAMBAA MITAANI BILA AJIRA

  • Pia kuondoa ile kauli ambayo ukimwambia muhitimu wa chuo “jiajiri” anakujibu “sina mtaji”
  • Ni matumaini yangu kwamba endapo mabadiliko haya yatafanyika basi kutakua na muamko mkubwa wa vijana kuwajibika na kupunguza mzigo mkbwa wa utegemezi kutoka kwa serikali na kwa ndugu jamaa na marafiki
  • Pia ni matumaini yangu kwamba endapo mabadiliko haya yatafanyiwa kazi tutapnguza kiwango kikubwa cha umaskini

  • AHSANTENI NAOMBA KUWASILISHA.
kazi nzuri na nimekupigia kura na wewe nipigie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom