chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Chato: Baraza la Madiwani lawasimamisha kazi Watumishi 15 kwa ubadhirifu wa Tsh bilioni 3.6

    Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita limewasimamisha kazi watumishi 15 wa idara mbalimbali kutokana na ubadhirifu wa Sh3.9 bilioni za miradi ya maendeleo. Miongoni mwa watumishi hao sita ni wa idara ya manunuzi ,wengine sita ni watendaji wa vijiji, wauguzi wawili na...
  2. N

    Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

    Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili. Source: Star Tv (habari saa 2)
  3. Mtu Asiyejulikana

    Napendekeza: Iwe ni lazima kutembelea Chato National Park

    Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa Serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Burigi - Chato National Park ili kuhamasishana katika Utalii wa ndani. Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea...
  4. Roving Journalist

    Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  5. Replica

    Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  6. Replica

    Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita. Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa...
  7. J

    Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

    Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato. Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua. Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika nchini kukutana na Rais Magufuli kwa mazungumzo kwa mwaka huu 2021, aliyefungua pazia ni waziri wa...
  8. U

    Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

    Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
  9. J

    LATRA yapiga marufuku Taxi kutumika kama daladala Chato, wenyewe wasema ni ushindani wa soko!

    Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala. Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
  10. S

    Kama eneo uliko maisha magumu na biashara zako haziendi hamishia Chato. Huku Mambo Safi

    Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote. Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu. Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
  11. kagoshima

    Tunaomba mnapojenga Chato tukumbukeni na siye huku Rungwe Mashariki. Barabara tunateseka sana wakati wa mvua

    Naweza sema hizi Barabara hasa hii inayoanzia Katumba - Mwakaleli- Rwangwa- hadi Kyela ni muhimu sana kiuchumi. Huko ndiko inatolewa gesi ya carbon dioxide hiyo inayotumika kwenye vinywaji, mafridge nk. Huko kuna mashamba makubwa ya chai na kiwanda cha chai. Hivyo utaona umuhimu wa eneo hilo...
  12. beth

    Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  13. 4

    Wakati Chato tunaendelea, basi tuiboreshe na Tanganyika - Tanga

    Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri. Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI. Sikuwahi jua chanzo cha jina...
  14. chaliko

    Naomba ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma

    Ninawasalimu ndugu kwa Jina lile lipitalo Majina yote. Mada yangu ni kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma ambao Serikali ilijinasibu kuujenga tangu Rais Magufuli ameingia madarakani. Awali ya yote naomba niweke kumbukumbu sawa hapa kulingana na muda, Msalato...
  15. D

    Maendeleo ya Chato au popote pale nchini ni maendeleo ya Taifa zima

    Dhana ya Maendeleo nchi isipotoshwe na watu wachache kwa sababu zao lakini uhalisia ni kwamba maendeleo yanayofanyika Chato yasichukuliwe kuwa ni upendeleo la hasha. Tukumbuke kuwa Taifa hili limejengwa kwa misingi ya umoja tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya Mwl. Nyerere hivyo ukiangalia mkao...
  16. beth

    Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

    Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia...
  17. E

    Yanayofanyika Chato yanafanyika kote Nchini Tanzania

    Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly) Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
  18. Z

    The Chato Syndrome: Coincidence or really district potential?

    This is a new syndrome but not new to our country. There was a time everything was Msoga/Bagamoyo/Dar es salaam and the name Ridhwan! Be it a new road, a new government contract, a new hospital, a new filling station, etc. Now, it is Chato; a new airport, a new National park, a new Hospital, a...
  19. Mshana Jr

    Ungependa kitu gani kingine kipelekwe Chato?

    Funguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..
  20. S

    Kuhusu miundombinu Chato, Rais anawaagiza au viongozi wenyewe wanaamua tu kuipeleka huko?

    WanaJF, Hongereni na usiku wa mapinduzi ya Zanzibar. Na naenda kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwepo na maoni mengi sana siku za karibuni kuhusu uwekezaji au miondombinu inayojengwa wilayani Chato(nyumbani kwa rais wetu). Kila kundi wameongea yao; Wanasiasa, wanaharakati, wasomi wa kawaida...
Back
Top Bottom