Napendekeza: Iwe ni lazima kutembelea Chato National Park

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa Serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Burigi - Chato National Park ili kuhamasishana katika Utalii wa ndani.

Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea Chato kuangalia wanyama na shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Katika eneo hili na chimbuko la uchapaji kazi wa Rais.

Katika watalii wanaokuja Tanzania kwenye package yao Visiting Chato iwe ni Must. Hiii itakuza sana mbuga hii ya kupendeza ambayo naamini muda si mrefu itaingia kwenye maajabu 7 ya Dunia kwa kuwa mbuga inayokua kwa kasi sana Duniani.

Watanzania tujifunze kupenda vya kwetu. Pia wafanyakazi wa Serikalini wapewe mikopo ya kujenga nyumba Chato ili yale mataa yawe serious yakifanya kazi kutokana na uwepo wa watu wengi na kuongeza shughuli za kiuchumi. Na pia Ijengwe Ikulu kwa Kanda ya ziwa.

Na pia wale wanaopiga piga kelele Chato kujengeka nawauliza kwani Chato ipo nchi gani? Nashauri hata ule mradi wa Bandari ya Bagamoyo ungehamishiwa Chato ili kuinua uchumi wa Kanda ya Ziwa.

Nawasilisha.

Namba yangu ya simu 078778371
 
Chato National Park ipo nchi gani? Tanzania kuna Burigi - Chato National Park! Usipende kushabikia kitu ambacho hukijui utadharaulika!
 
Tatizo hata jamaa ameshajua siku hizi mnamsifia tu kwa sababu ya minyoo iliyojaa kwenye matumbo yenu. Kina Jerry Muro ndio walikuwa wa mwisho.
Sikuona sababu ya matusi. Sisi hatukulelewa hivyo ndugu yangu. Nawashukuru wazazi wangu na CCM pia kwa malezi mema.
 
Hotel ilikuwa empty just few months ago sasa biashara imeshamiri wageni wa Kiserikali toka nje na wa kutoka ndani pia. Na hiyo hotel bei zake hazishikiki lakini Serikali inalipa ili kutunisha mifuko ya jiwe.
Naunga mkono. Tena wakifika Chato walale hotel ya Bwana mkubwa
 
Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Chato National Park ili kuhamasishana ktk Utalii wa ndani.

Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea Chato kuangalia wanyama na shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

Katika watalii wanaokuja Tz kwenye package yao Visiting Chato iwe ni Must. Hiii itakuza sana mbuga hii ya kupendeza ambayo naamini muda si mrefu itaingia kwenye maajabu 7 ya Dunia.

Watanzania tujifunze kupenda vya kwetu. Pia wafanyakazi wa Serikalini wapewe mikopo ya kujenga nyumba Chato.ili yale mataa yawe serious yakifanya kazi kutokana na uwepo wa watu.

Na pia wale wanaopiga piga kelele chato kujengeka nawauliza kwani chato ipo nchi gani? Nashauri hata Bandari ya Bagamoyo ingehamishiwa Chato ili kuinua uchumi wa Kanda ya Ziwa.

Nawasilisha.

Namba yangu ya simu 078778371
Hiyo namba ya simu uliyobuni itamgharimu mwenye nayo
 
Back
Top Bottom