COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,656
59,718
Jana hawa watalaamu walitoa ripoti yao.

Niliisikiliza mpaka mwisho. Wenyewe wanajiita wataalamu lakini ripoti yao haikuwa ya kitaalam.

Hawakutueleza uchambuzi wowote kuhusu baada ya mwaka mzima kutokuwa na lockdown na kutokuvaa barakoa hasara zipi tumepata na faida zipi tumepata!?

Wamerukia tu kwenye conclusion na kutoa ushauri kwamba tutumie chajo ya Bill Gates. Bila kupepesa macho kabisa hawa jamaa wamekula pesa ndefu.

Suggestions zilizotolewa ni kupigwa chanjo wanajeshi!? This is serious war. Yaani unapiga chanjo wanajeshi wote!? Ikiwa chanjo hiyo inamadhara maana yake Tanzania haitakuwa na jeshi. This is big risk.

Chanjo huwa zinachukua miaka na kufanyiwa majaribio mengi mno.

Bill Gates ni mfanyabiashara yeye anachoangalia faida.

Kuna madini ya Nickel yaliyopo Kabanga na Simiyu lengo lao watoe hiyo chanjo na wachimbe madini yetu. Kwaajili ya EV na Research kwenda kwenye sayari zingine.

HII HAIKUBALIKI HATA SIKU MOJA SISI RAIA SIYO WAPUMBAVU KIASI HICHO.

Wanataka kutufanya kuwa sehemu ya majaribio kwa manufaa yao ya kifedha.

WATANZANIA TUKATAE CHANJO. TUTENGENEZE YA KWETU.
 
Hawa akina FLAVIANA MATATA ndio wanaopiga chapuo maana ndio wanufaika wa Bill and Belinda foundation

Screenshot_20210518-093758.png
Screenshot_20210518-093724.png
 
Dawa zote mnachukua nje kwanini msitengeneze ARV zenu na chanjo zenu za kifua kikuu ,tb,polio badala mnazikimbilia za hao mabeberu ..Kama hizi dawa na chanjo mmeshindwa kutengeneza kwa ukilaza wenu mtatwngeneza chanzo za Corona labda mchanganye muarubaini na mitishamba ndio uwezo wenu

Dawa karibia zote pharmacy na mahospitalini ni za kutoka nje hlafu leo hii unataka kujitia kiburi utengeneze chanjo ya ugonjwa sumbufu wa Corona?
 
Dawa zote mnachukua nje kwanini msitengeneze ARV zenu na chanjo zenu za kifua kikuu ,tb,polio badala mnazikimbilia za hao mabeberu ..Kama hizi dawa na chanjo mmeshindwa kutengeneza kwa ukilaza wenu mtatwngeneza chanzo za Corona labda mchanganye muarubaini na mitishamba ndio uwezo wenu
Wewe mzee utachanjwa. Lakini mimi hakika watachanja maiti yangu. Siwezi kuwa sehemu ya majaribio ya kishetani.
 
Dawa karibia zote pharmacy na mahospitalini ni za kutoka nje hlafu Leo hii unataka kujitia kiburi utengeneze chanjo ya ugonjwa sumbufu wa Corona ?
Hizo chanjo zilizotajwa zilitolewa kipindi hao matajiri wana akili timamu😆😆😆 na uoga wa Mungu! Hizi za sahizi wanazotaka kuleta zina mrengo wa kibiashara na maangamizi ya mtu mweusi! Bill gate ni bepari ni devil
 
Uko delusional na paranoid
Hizo chanjo zilizotajwa zilitolewa kipindi hao matajiri wana akili timamu na uoga wa Mungu! Hizi za sahizi wanazotaka kuleta zina mrengo wa kibiashara na maangamizi ya mtu mweusi! Bill gate ni bepari ni devil
 
Mbn billgate anatoa dawa za malaria na vifaa Tiba kibao kwa third world countries miaka na miaka ,chanjo za magonjwa kibao mbona mmekuwa mkizipokea Tena bure leo hii ndio aje awaue kwanini asingewaua miaka yote hio mliokuwa mkipokea misaada yake
 
Covax ni chango au ni mpango wa chanjo kuwafikia watu kwa gharama nafuu na kwa urahisi?
 
Wewe mzee utachanjwa. Lakini mimi hakika watachanja maiti yangu. Siwezi kuwa sehemu ya majaribio ya kishetani.
Nani kasema atachanjwa ila nimenyamaza sitaki niwe mnafki
Hiki unapokea kile unakataa wkt Kama angeamua kuua tungeuliwa kitambo na chanzo za polio ambayo wasambazaji ndio hao hao
 
Back
Top Bottom