changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Umeme Newala

    Mimi ni mkazi wa Newala -Mtwara, kila Mara Tumekuwa na changamoto ya kukatika umeme , tunashindwa kufanya kazi zetu zinazotumia umeme; mda mwingine siku mbili mfululizo bila kupewa taarifa yoyote, kwa Leo pia Toka jana usiku Kucha na Leo mchana kutwa hakuna umeme, tunatamani kujua tatizo ni nini?
  2. generationn Z

    JamiiForums Tanzania KERO Nimesafiri toka Mwanza-Musoma kiukweli barabara zetu bado ni changamoto

    Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔 Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanachama za SADC wahimizwa kuwa na umoja wenye malengo kukabiliana na changamoto zenye madhara ya Kiuchumi

    Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa na madhara makubwa katika usalama na uchumi wa nchi wanachama. Hayo yamejiri Julai 16, 2026...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto za car wash

    Ume peleka gari yako vizuri waoshe umetoka zako umefika dukani kuchukua maji ukirudi una kuta gari yako imegongwa ukiuliza muushaji ana kwambia gari ilipakiwa vibaya kwahy alikuwa ana jaribu kupaki vizuri mtu kama huyo una mfanyaje?
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi

    Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii. Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Orodha ya changamoto ulizowahi kukutana nazo TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha za changamoto ulizowahi kukutana nazo wakati ukifuatilia huduma TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jaman naombeni muongozo wa biashara ya ya chipsi Changamoto na faida na mengine Asanteni sana🙏🙏

    Jamani naombeni mwongozo wa biashara ya chipsi Changamoto,faida,hasara na mengine nisiyoyajua Asnteni..🙏🙏
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda changamoto nyingine kubwa ndani ya CHADEMA ni Katibu Mkuu wake kupwaya kwenye nafasi yake kama mtendaji

    Sote ni mashahidi, kwamba katibu mkuu wa chadema, hata kwa kumtazama tu kwa macho, achilia mbali kumskiliza, ni wazi kabisa anaweza kua ni kichochea cha ufisadi unaoendelea chadema na matumizi mabaya ya ofisi kwa viongozi mbalimbali wa chadema taifa. Ni dhaifu sana, ni muoga mno na kabisa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana, Mwanza

    Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo. Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati tatu (kamati ya kata, kamati ya halmashauri na kamati ya wilaya) na kikundi kupitishwa, husaini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nitaendendealea kutoa mfulizo wa Changamoto za kampuni ya BRAC kwa vijana Waajiriwa wa hiyo kampuni

    Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
  12. Fene

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na Kitengo cha Kitaifa cha Kupokea Changamoto za Wananchi

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi. Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
  13. Jchris14

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom tatueni changamoto ya kimtandao mbona mnatutesa?

    Ndugu zangu kwema? Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi? Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye connecting mode tu hata kwa dakika mbili bila hata kuita. Ukijaribu kutumia M-Pesa Menu ya kawaida...
  14. mike2k

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

    Unazimudu na kuzitatua vipi? 🤔
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ongezeko la Excise Duty kwenye magari ni changamoto mpya kwa Wananchi

    Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari. Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Maafisa Rasilimali watu katika Halmashauri wanaendelea kukaa kimya kuhusu Recategorisation

    Habari. Watumishi tuliojiendeleza kielimu tukiwa kwenye halmashauri tunakumbana na changamoto kubwa katika kufanyiwa re-categorization (recate) kutoka kada moja kwenda nyingine. Maafisa Rasilimali Watu (HR) mara nyingi hutoa sababu mbalimbali, zikiwemo ukosefu wa kutokuwepo kwa ruhusa ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na changamoto kubwa ya uongozi tuliyonayo lakini nimegundua nimegundua wananchi wengi nao ni Changamoto baada ya kuung'oa mfumo ovu kazi bado

    Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo. Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
Back
Top Bottom