The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali.
Makosa ya erikali yana baraka za CCM.
Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya
Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
CCM kwa sasa kinachagua watu kulipa fadhila,kuendana muhusika,kukosa dira na n.k.
Kama muhusika siku hakitoka nahisi chama chenu ndio kitakuwa mwanzo na mwisho kurudia tabia hii.
Mnaona aibu kila kona ila ndio mumefikia.
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
Ukweli ni kwamba tushafika point ya no return ambapo kuna total breakdown ya mawasiliano kati ya mtaa na hawa jamaa wa juu. Hii serikali is full of it, wamekaa kwenye viti vyao wakijiona ni untouchable huku mtaani vijana tukisota kinyama. It’s a mutual delegitimization process, yani kifupi we...
Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa.
Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi.
Hili la kueneza maneno kuwa wanalipiwa hela kwenye mahotel huko nje sio hoja...
Hili lichama limekuwa kituko sana. Kuna mambo linafanya hadi unajiuliza hivi hawa jamaa hawana hata aibu?
Mnakumbuka yale maandamano yaliyoandaliwa na Diaspora wa Marekani? Eti nayo maccm yakaandaa maandamo ya kumpongeza Samuya kucounter attack. Yakakodisha wameksico (Mexicans) waandamane...
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party (NEDP), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Sonko aliondolewa katika nafasi ya Gavana wa Nairobi mwaka...
Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze kuharamishwa?
So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka...
Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki.
Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii?
Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.
Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.
Yeye anasema akasukuma...
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa.
Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani...
Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu
Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.
Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.