The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
"Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
Chama cha Mapinduzi ni chama cha siasa, lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia kutokana na historia inavyojionyesha huko nyuma,
Kuna baadhi ya Wabunge wake waliofariki kwenye majimbo yao na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao.
Mf; Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey -...
Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, kuna siku isiyo na tarehe watakuja kuliponza taifa.
Kazi yetu ni ndogo sana, kusema, kama...
Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu
1. Jamii...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) is Tanzania’s ruling political party, founded on the principles of nationalism, unity, social justice, and democratic governance. Its goals and objectives reflect the historical struggles of Tanzania and its vision for a just, prosperous, and united nation. The...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya Jumapili ya leo
Naomba kuanza kwa declaration of interest,mimi na Zitto ni marafiki wa intake moja UDSM,namfahamu kwa karibu na huwa tunataniana,hivyo namfahamu ni mtu pragmatist anayefuata siasa za pragmatism Face 2 Face with Zitto Kabwe...
Maana kwasasa,
Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.
Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.
Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya...
Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.
Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo.
Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema
na ikumbukwe kuwa hizo...
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.
CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule.
CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186.
Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi.
Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali.
Makosa ya erikali yana baraka za CCM.
Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya
Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
CCM kwa sasa kinachagua watu kulipa fadhila,kuendana muhusika,kukosa dira na n.k.
Kama muhusika siku hakitoka nahisi chama chenu ndio kitakuwa mwanzo na mwisho kurudia tabia hii.
Mnaona aibu kila kona ila ndio mumefikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.