chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI FIFA wameshindwa kuvumilia wamem'post' Chama, Goli limewachanganya

  5. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chama ni mtego kwa Simba msimu ujao

    Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo. Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli. Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao?? Turudi kwa kiwango cha chama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chama cha Wafanyakazi Kibondo (TALGWU) na makato yasiyo sawa

    Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo. Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/= Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita bila kusomewa Mapato na Matumizi katika Chama, je! Ukaguzi wa ndani na nje ya Halmashauri...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kama Lissu anatusumbua Kisiasa, futa Vyama vingi kibaki chama kimoja

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

    https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili https://youtu.be/YeFifs15d8I?si=oelqqxCQEKTT4cA0
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Chadema ni Chama cha neglected society

    Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk. Watu wakiona mfuasi wa Chadema wanakimbia wanajua usalama wao haupo Inshort huwezi ukawa unaheshima ndan ya jamii halafu ukawa Chadema.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tanzania ni kama tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja cha siasa

    Licha ya Mataifa ya Afrika kuridhia mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka 1989, baadhi yao yameshindwa kuendeleza demokrasia ya vyama vingi, huku watawala waliochaguliwa na wananchi wakiziendesha nchi zao kidikteta. Tanzania iliyoridhia mfumo huo mwaka 1992, imepita katika milima na mabonde...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Mwabukusi: Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama CHADEMA

    “Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS "Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyika: Wanaharakati waanzishe chama chao wasitutegemee CHADEMA

Back
Top Bottom