chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa ACT: Zitto hajang'atuka kwenye Chama, ameheshimu Katiba ya ACT

    Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023. "Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

    Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  5. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Chama na Kapama wasimamishwa Simba

    Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu. Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu. Taarifa hiyo imewakumbusha...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  8. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao. Jiwe hili limerushwa.
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

    Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha. Naomba chama aende Azam au Yanga na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

    Mada kama hizi huelekezwa kwenye vile vyama vyenye ule wito mtakatifu wa ukombozi. "Ikiwapendeza waheshimiwa, waungwana kabisa:" Falsafa ya chama ni jambo la msingi zaidi katika chama chochote. Falsafa hutoa utambulisho halisi wa chama. Ikaweza kutofautisha baina ya vyama. Ikazaa imani za...
  12. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wabunge 19 wa CHADEMA hawakuwa na baraka za chama?

    Je, ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni? Je, ni kweli walienda bila uongozi kuwateua? Kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua? 1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawaziri na Viongozi wa chama tawala wanapenda sana kuwatisha watumishi kwamba watawatumbua? Kila waziri anatamka kutumbua, hadi lini?

    Mawaziri na Manaibu kila wanapopita jambo dogo tu nitapendekeza utumbuliwe; wakuu wa mikoa nao kila wanapokwenda wanawaza kuweka watu ndani na kuwatumbua. Ipo wapi team work tuliyofundishana kwenye utoaji wa huduma? Ipo wapi team work ndani ya taasisi za umma? Tunapata muda wakujadiliana...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM kinaanzisha miradi mingi mitaani mwaka mmoja kabla ya uchaguzi? Je, hii sio mass bribe?

    Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk. Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
  16. I

    JamiiForums Tanzania Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka wahamiaji wanaoishi nchini humo kuheshimu utamaduni wa Ujerumani na kuitambua taifa la Israel

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani. Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
  17. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

    Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua. Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
  19. Mitch McDeere

    JamiiForums Tanzania Kwako Mtanzania: Usajili kwenye Chama cha Utajiri

    USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI Kuanzia sasa ninafanya usajili, Kuanzia sasa ninajisajili, Najiunga kwenye chama cha utajiri. Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili, Kila jambo nitafanya kwa kufikiri, Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri. Kwa nini nimeanza na akili? Kwa sababu nilimsikia tajiri...
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba

    Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane. Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui...
Back
Top Bottom