chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuna chama kinatumia wajinga kuendesha wasomi

    Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
  4. raisiajaye

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  5. morees

    JamiiForums Tanzania DP World sasa tafrani ndani ya chama

    Mtunzi wa vibonzo DW na mawazo yake . Mbunge wa Mbeya na spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania leo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa majengo ya shule amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kutomvuta shati kiongozi mkuu wa chama hicho ambaye ni Raisi wa Tanzania katika swala zima la...
  6. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuvaa sare za chama haimaanishi wewe ni mzalendo kwa nchi wala chama

    Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
  8. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hiki chama kimepoteza legitimacy. Msajili akipe onyo au akifute

    Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine. Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika Hatutaki udini Hatutaki...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

    Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Chama cha Mapinduzi...

    Salamu wanajamvi, Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa. Chama cha mapinduzi kupitia KATIBU mkuu wao wanawaomba watanzania tuiamini serikali yao chini ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  15. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kama CCM inawapenda waanzishe viwanda mkamate uchumi wa nchi kuwa chawa mnaua nguvu kazi ya taifa

    Tanzania ni nchi pekee kubwa yenye madini na fursa ya kuzungukwa na nchi jirani. Miaka ya zamani kabisa hata sijazaliwa masufuria na vijiko yalitoka Arusha, pasi za mkaa na majembe na spea vilitoka Arusha baada vita ya kagera viwanda vilikufa kabisa. World Bank wakashauri tulete wawekezaji...
  16. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chonde chonde chama tusimuache Wana Simba

    Nawaomba Sana ndugu Wana Simba,tumshikilie Chama kwa nguvu zote maana bado tunamtegemea Sana Tusidanganyike na usajili mpya maana bado watu hatujawajua Mabifu yamalizen
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha. Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake (tena akiwa bado Kwao) nchini...
  18. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Clautus Chama ondoka sasa, Robartihno hakutaki

    Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  20. Unasemeje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Back
Top Bottom