chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  2. Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  3. Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

    Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
  4. CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

    Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
  5. Mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China (CPC) haruhusiwi kuwa na dini. Kwanini?

    Ndio, mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China haruhusiwi kuwa na dini kwa kuzingatia kanuni za kimarx za chama cha CPC. BEIJING - Wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) hawapaswi kuamini dini, ambayo ni kanuni inayopaswa kuzingatiwa kwa ujasiri, alisema afisa mkuu. Chama...
  6. Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  7. Katiba ya Chama Changu Haina Kipengele cha Ukomo wa Kiongozi Mkuu.

    Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi. Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
  8. Kiongozi wa ACT badala ya kukikuza chama anapamba na wapinzani

    Brother akajua mkutano utakuwa Jumamosi si ndiyo akanunua Mechi yote uwanja mzima akalipia KiingilioBrother akajua mkutano Jumatatu si ndiyo akarudisha pesa ya Chopper yote na fidia Juu watugomee kufanya kazi. Sasa Mbowe kachukua Chopper kutoka UfaransaNasikia BOTHER KAZIMIA
  9. Rais wa zamani wa Ghana John Mahama apitishwa na Chama kikuu cha upinzani kuwa mgombea wake 2024

    Picha: Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama alipitishwa na Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana National Democratic Congress, kuwa mgombea wake mwaka 2024. Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana, National Democratic Congress, kilipiga kura kwa idadi kubwa...
  10. Membe aliamini siyo sahihi kuwa mtu anayewania urais lengo lake ni kukigawa Chama

    Membe alikuwa anapingana na maistream thought katika Chama. Alisema siyo sahihi kusema mtu akiwania urais katika Chama analeta factions katika Chama,na kama ukiiita 'faction' you do it for want of a better word,kwa sababu mtu akiamua naye pia anataka kuwa rais siku moja, that is just human...
  11. T

    Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

    Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani! Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
  12. B

    Simba chukueni hatua akina Chama wameridhika mno

    Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli wala hauumiii, Mwakani tulete damu nyingine yenye uchu wa matokeo. Why mwl hawachezeshi PHIRI na OKRAH...
  13. Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  14. M

    Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

    Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam. Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao...
  15. SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  16. S

    Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  17. SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  18. Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  19. Uhuru Kenyatta afukuzwa Uenyekiti wa Chama cha Jubilee

    Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya. Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
  20. Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

    Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim. Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…