chakula

  1. JamiiForums Tanzania Kwangu Ugali bila mlenda ni chakula ambacho hakijakamilika

    Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika. Nikiwa nyumbani nimeamua kujipikia lazima nipike mlenda. Mlenda ni my all time favorite mboga. Naweza kula ugali na mlenda peke yake na...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dr. Stella Nyanzi, Bajjo and several others arrested over food protest

    Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda akipambana na polisi huku akipinga agizo la lockdown kwa madai watu wanakufa na njaa. Polisi wametumia...
  3. JamiiForums Tanzania Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  4. JamiiForums Tanzania Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

    Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

    Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
  6. JamiiForums Tanzania MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa === UFAFANUZI KUTOKA KWA WATAALAMU KUHUSU DALILI HII Je kupoteza ladha na harufu ni dalili ya coronavirus...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa. Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14. Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Janga la njaa lazidi kuwa baya nchini Zimbabwe. Watu milioni 7.7 hawana chakula

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetoa wito wa kuchangisha kiasi cha dola milioni 130 za kimarekani ili kuwasaidia watu wanaokumbwa na njaa nchini Zimbabwe kwenye kipindi hiki maalumu cha mlipuko wa virusi vya Corona. Shirika hilo limesema Zimbabwe imekumbwa na msukosuko wa ukosefu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje?

    Coronavirus: Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje? Tangu nchi mbalimbali duniani kuweka sharti la kutotoka nje kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vyakula kwa urahisi. Dunia ikiwa na makatazo mengi katika maeneo mbalimbali kutokana na mlipuko wa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  12. JamiiForums Tanzania Jana McDonald’s waligawa chakula bure kwa health care workers

    Kuonyesha shukran yao katika kupigana na covid-19. McDonald’s zilitoa chakula bure ukionyesha tu budge ya kazini.
  13. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 85 afungiwa mahubusu siku 3 bila chakula

    MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Msoba Mligo. Akizungumza kwa shida baada ya Jeshi la Polisi likiongozwa na Mkuu wa Jeshi hilo wilayani Igunga, Ally Mkalipa, kuuvunja mlango...
  14. JamiiForums Tanzania Kiafya haishauriwi kufanya vitu vifuatavyo mara baada ya kula chakula hasa namba nne ni hatari zaidi kwa maisha yako

    1.Kuvuta sigara Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo inashauriwa kusubiri angalau kwa masaa kadhaa ndipo uvute endapo ni lazima sana kwani sigara ina miliki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natengeneza na kuuza chakula cha Samaki

    Habari wadau wa JF, Karibuni mjipatie chakula cha samaki chenye virutubisho vya kutosha. Simu: 0767900396 au 0782391954. KARIBUNI sana.
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanyama walao nyama (carnivorous) hawatumiki kama chakula cha mwanadamu?

    Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani. Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi. Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?
  17. JamiiForums Tanzania Nzige wakiwa ndani ya eneo la Kilometa ya mraba 1, wanakula chakula cha kuwatosha watu 35,000 kwa siku

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Bwana Mark Lowcock amesema “wimbi moja la nzige waliozingira ukubwa wa kilometa moja , ambalo linajumuisha nzige milioni 40-milioni 80, wanaweza kula kwa siku moja chakula ambacho kinatosheleza kulisha watu 35000”...
  18. JamiiForums Tanzania Tarime raha sana, chai ya asubuhi ni zaidi ya chakula cha mchana

    Mambo ya Tarime Hayo!
  19. JamiiForums Tanzania Huku kwetu Kwamtogole ukiwa na sherehe, "self service" ya chakula inaumiza wengi

    Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe. Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu 10-15 wamwanzo ndiyo watabeba nyama zote. Unakuta mtu amepanga nyama kama mlima Kilimanjaro...
  20. JamiiForums Tanzania Ethiopia yahitaji msaada wa chakula

    Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula. Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1. Katika taarifa hiyo iliarifiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…