chafu

Chafu Chah (Persian: چافوچاه‎, also Romanized as Chāfū Chāh) is a village in Gafsheh-ye Lasht-e Nesha Rural District, Lasht-e Nesha District, Rasht County, Gilan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 465, in 138 families.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

    Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

    MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

    Kuna staff mwenzetu nilikua nafanya nae kazi yaani yeye ni shameless. Si kwa ubaya lakini najaribu kuonesha tabia yake. Kuna watu ambao ni shameless huwezi msema kwa lolote akadharirika au akaaibika. Hawa wamejitengenezea immunity haogopi, hajali watu wanasema nini, hajali wanafikiri nini ili...
  4. JamiiForums Tanzania Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
  6. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

    Maoni ya Mkazi wa Arusha kuhusu mazingira ya Jiji hilo na kero nyingine mbalimbali.
  7. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Husna Sajent anachekesha sana, hivi anadhani skendo zake chafu tumezisahau au?

    Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania niwasahaulifu au ni wajinga kiasi hicho 😂😂😂😂😂😂. Yani huyu dada alikuwa hakauki kwenye magazeti ya udaku...
  10. JamiiForums Tanzania BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la oil chafu

    Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha... Natanguliza shukrani.
  13. JamiiForums Tanzania Ukiristo unawafanya watu wawe wanafiki na roho mbaya

    Ndugu wasomaji, Ukiristo ni dini ya Ulaya, (Mungu Muumba hana uhusiano wowote na Ukiristo) inawafanya wafuasi wake hususani wale wafuasi wenye madaraka katika dini hiyo wawe na tabia zile zile za wazungu. Unafiki na roho mabaya na ubinafsi. Tukiangalia mapesa yanayochukuliwa na makanisa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

    Uhali gani mwanaJF, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu. Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo I) Kuandika mkononi au...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha MNEC Mlao Pwani chakemea wazushi na waeneza Propaganda chafu

    Jumamosi, Juni 24, 2023. Kibaha, Pwani. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Ramadhani Mwinshehe Mlao ( MNEC ) ameshiriki kama Mgeni Rasmi Katika Ufunguzi wa Baraza la Kawaida la UVCCM Mkoa Wa Pwani. Katika Baraza hilo MNEC Mlao amempongeza na kumshukuru Dkt. Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

    Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu. Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/ Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
  17. JamiiForums Tanzania Dar: Watu wanne wa familia moja wafariki baada ya kuvuta hewa chafu ya jenereta

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la vifo vya watu wanne wa familia moja ambao wamepoteza maisha baada ya kuvuta hewa chafu ya moshi kutoka kwenye jenereta walilowasha ndani ya nyumba na baadae kulala Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro...
  18. JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

    Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
  20. JamiiForums Tanzania Punyeto ni mlango wa Roho chafu

    Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa. Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…