chafu

Chafu Chah (Persian: چافوچاه‎, also Romanized as Chāfū Chāh) is a village in Gafsheh-ye Lasht-e Nesha Rural District, Lasht-e Nesha District, Rasht County, Gilan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 465, in 138 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PDF la oil chafu hili hapa

    Kutokana na ongezeko kubwa la viwanda Tanganyika, mahitaji ya malighafi nayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa sana. Kuna baadhi ya malighafi ambazo zamani hazikuwa na thamani yoyote. Ni aidha ziligawiwa bure, zilitupwa, au ziliuzwa kwa bei rahisi. Leo twende na hii malighafi ya oil iliyotumika...
  4. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM. Nataka kuchukua mfano Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
  5. U

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  6. zhang laoshi

    JamiiForums Tanzania Oil chafu zinazokusanywa mitaani zinaenda wapi? Why uhitaji ni mkubwa hivi?

    Habari wadau! Naomba kufahamishwa Kwa anayelijua hili, oil chafu na makopo ya oil yanayokusanywa na watu toka gereji za magari na pikpik zinaenda kutumia kwenye nini? Nilipewa fununu kuwa kuna jinsi zinapikwa na kurudishwa tena dukani... Pia wanawasihi mafundi wakiwa wanafungua wafungue vizuri...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  8. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WATU WANAOTOA LUGHA CHAFU ZA MATUSI KUNA NINI NYUMA YAKE?

    Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
  9. Iruru

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa chafu eneo la Mchicha Vingunguti

    NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani. Je, mmeamua kutua kwa sulphur baada ya kimbunga Hidaya kutusamehe?
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

    Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

    MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

    Kuna staff mwenzetu nilikua nafanya nae kazi yaani yeye ni shameless. Si kwa ubaya lakini najaribu kuonesha tabia yake. Kuna watu ambao ni shameless huwezi msema kwa lolote akadharirika au akaaibika. Hawa wamejitengenezea immunity haogopi, hajali watu wanasema nini, hajali wanafikiri nini ili...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

    Maoni ya Mkazi wa Arusha kuhusu mazingira ya Jiji hilo na kero nyingine mbalimbali.
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Husna Sajent anachekesha sana, hivi anadhani skendo zake chafu tumezisahau au?

    Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania niwasahaulifu au ni wajinga kiasi hicho 😂😂😂😂😂😂. Yani huyu dada alikuwa hakauki kwenye magazeti ya udaku...
  19. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
Back
Top Bottom