Husna Sajent anachekesha sana, hivi anadhani skendo zake chafu tumezisahau au?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,120
Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania niwasahaulifu au ni wajinga kiasi hicho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Yani huyu dada alikuwa hakauki kwenye magazeti ya udaku kipindi hicho iwe ni sani, amani, ijumaa wikienda, ijumaa na vijalida vya udaku basi lazima utakuta skendo zake tena front pages kabisa .

Miongoni mwa skendo zake za mara kwa mara ni kugombania wanaume za watu ,skendo za picha zake za nusu utupu kubeba mimba za wanaume tofauti tofauti nk.

Miongoni mwa watu aliozaa nao ni mwanamuziki wa dansi Charles Baba, na muigizaji wa bongo muvi Salim Ahmed (Gabo) pia alishakuwa kwenye mahusiano na Darasa na watu wengine maarufu kipindi hicho.

Kutokana na kuwa mapepe wote aliodai kuzaa nao walikataa hao watoto si Gabo wala Charles yani yeye akabaki single mama ,sijajua kwa Sasa kwamba wameshamaliza tofauti zao au lah.

Sasa eti anadai yeye hawezi kuchepuka hata mara Moja na hajawahi kuchepuka 🀣🀣🀣🀣🀣🀣hivi anachukulia watu ni mabwege kiasi hicho au kuna danga analilia timing lijae aende kulipuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Watu walikuwa wameshamsahau naona usikute pia hiyo ni gia pia ya kurudi mjini watu waanze kumuongelea , acheni masikhara nyie umaarufu / ustaa unatafutwa kwa shida sana .

1901661881.jpg
 
Back
Top Bottom