BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,986
Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas.

Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene.


Screenshot_2023-11-02-10-40-18-405_com.google.android.youtube.jpg


Screenshot_2023-11-02-10-41-28-794_com.google.android.youtube.jpg


Screenshot_2023-11-02-10-41-36-996_com.google.android.youtube.jpg


Screenshot_2023-11-02-10-42-28-774_com.google.android.youtube.jpg


Screenshot_2023-11-02-10-42-43-653_com.google.android.youtube.jpg


Pia soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
 
Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas..

Imagine umekaa subeleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene..

View attachment 2801133

View attachment 2801134

View attachment 2801135

View attachment 2801136

View attachment 2801137
Basata Ipi Kaka? We watag kuwa Kuna Mtu Kaimba Maisha Magumu au Mabasi ya Mwendokasi Yamegeuka Mateso Badala ya Suluhisho Utawaona chap.
 
Hii nchi sio hekalu wala msikiti ishi utakavyo na uwaache wengine waishi watakavyo
 
Unaheshimiana na watu alafu wote kwa pamoja mnakaa kutazama hiyo video, hii haiingii akilini kabisa
 
Kamata na huyo binti naye piga faini, au funga.

Kwa nini tunasema wanawake wamedhalilishwa wakati huohuo kuna mwanamke kajitolea kukamilisha udhalilishaji. Kwani ni katuni wa CAG sijio CAD. Si ni mtu halisi

Apigwe faini, awe responsible na makosa yake. Kama ni makosa
 
Mshike huyooooo.
Atoki mtu .
Nimeupaka mkongo atoki mtuuuuu.
Mshike huyooooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Ashanipiga sana mizinga

Pale kwenye kachupa ka mafuta ya nazi ya parachute ndo penyewe sasa.
Yaani pale ndo kuyatimba kwenyewe...
 
Ukiona umekaa na watu mnaoheshimiana nao na ukaweka Wasafi Tv jua hamuheshimiani,
Weka UTV, ITV na the like
Nani aliebaki nwenye heshima ? Unayajua matendo yake ya gizani ?
Binadamu kama binadamu eti ana heshima !
heshima ipi na yupi huyo?
Labda kipindi cha yesu na Muhamad.
 
Back
Top Bottom