zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 423
- 537
Habari wadau!
Naomba kufahamishwa Kwa anayelijua hili, oil chafu na makopo ya oil yanayokusanywa na watu toka gereji za magari na pikpik zinaenda kutumia kwenye nini?
Nilipewa fununu kuwa kuna jinsi zinapikwa na kurudishwa tena dukani... Pia wanawasihi mafundi wakiwa wanafungua wafungue vizuri ili wasiharibu nembo wala kidumu cha oil.
Hii inakupelekea vyombo vyao Moto kuharibika sababu oil nyingi sasa hivi hazina ubora kwani nilijaribu kumuhoji mmoja last week kuwa wanazipeleka wapi alikuwa mkali sn na hakutaka kunijibu. Wanapopeleka wengi ni eneo la kigogo mbuyuni opposite na shule ya msingi Lutihinda.
Kama ni kweli wahusika wa kudhibiti ubora wa bidhaa wapo wap?