chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

    Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia uliopo ndani ya CHADEMA usiosemwa machoni pa watu

    Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS. Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho. Hivi majuzi...
  3. Bess

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  4. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA imenufaika au imepata hasara na ujio wa Mawaziri Wakuu wastaafu? Je, ina la kujifunza?

    Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena. Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
  5. meningitis

    JamiiForums Tanzania Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

    Great thinkers! Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania. Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yawavuruga Chadema waona ni heri muasisi mtendaji pekee mzee Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti

    Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti. Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijawahi na haitakuja kutokea kuwa tishio kwa CCM

    CHADEMA wanatengeneza maneno kuwa CCM inamuogopa Mhe. Mbowe na CHADEMA ndio maana anapingwa asigombee tena. Hii si kweli na ni upotoshaji mkubwa sana, chama chenye wasomi, wataalamu na manguli wa siasa Tanzania kiogope chama ambazo hakina mbadala zaidi ya ‘DJ’? Toka kuanzishwa kwa CHADEMA...
  8. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

    Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashtushwa na Fredrick Sumaye kutumia nembo ya Taifa kuitisha mkutano wake na Wanahabari

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya taifa katika barua yake ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo katika jengo la LAPF, lililopo Kijitonyama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

    WanaJF, Ni kipindi kingine muhimu kwa mustakabali wa siasa za Tanzania. Uchaguzi mkuu wa Chadema sio tu kwamba ni uchaguzi wa kawaida bali ni uchaguzi wa chama kikuu na tishio kwa chama tawala. Baada ya kumaliza kuwapata viongozi wakuu wa chama nafasi nyingine muhimu inayotizamwa na wengi ni...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

    Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni. Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro...
  13. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haiwezi kwenda Ikulu - Prof. Safari

    Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni. Video kwa hisani ya MwanaHALISI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

    WanaJF, Nchi iko katika heka heka kubwa kutokana na chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuendelea kufanya uchaguzi wake katika ngazi ya Kanda. Kwa idadi kubwa Watanzania wanafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu pengine kuliko ule uchaguzi wa serikali za mitaa uluosusiwa na upinzani. Kwa...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Upinzani unadumazwa na CHADEMA

    Wananchi wanapenda mabadiliko sana ila vyama vinavyojiita vya upinzani Nchini hususani Chadema kimekuwa kikizorotesha sana uhai upinzani. Ushahidi wa haya unayoyasema upo wazi kabisa:- 1. CHADEMA ndiyo waliomkera Dr Wilbroad Slaa kiongozi ambaye alipaswa kuzalisha vijana wengi kwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote. Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano. Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  19. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHASO - UDOM bwana Henry Mang’era yuko mahabusu kituo cha Polisi Chimwaga kwa wiki ya pili sasa kwa kosa la yeye kuwa Chadema na kwamba anawashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunge na CHADEMA chuoni hapo. Polisi wamemnyima dhamana kwa madai kuwa kosa hilo ni kuhatarisha...
  20. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Madiwani watano wa CHADEMA jiji la Arusha wajivua madaraka

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha. Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania...
Back
Top Bottom