CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa.

Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sasa ameshindwa maoni ya ubunge tena kwenye mkoa aliouongoza kwa mbwembwe urais nani atampigia?
Huyo saizi yake ni Ndungulile
 
Wewe Mwenyewe umekimbia kwenu Ruvuma, hata kutia nia umeogopa,umekalia majungu tu humu JF.
 
Acha matusi ya rejareja ndugu Yohana Mbatizaji - Una heshima sana humu JF kama hujijui - sasa kama watu unataka wakuvunjie heshima kama huyo unayempigia chapuo haya weee !!
 
Acha matusi ya rejareja ndugu Yohana Mbatizaji - Una heshima sana humu JF kama hujijui - sasa kama watu unataka wakuvunjie heshima kama huyo unayempigia chapuo haya weee !!
Unamweshimuje mtu manafiki kama yohana mbatizaji feki kama huyu mkuu?
 
Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani Chadema kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa.

Najua Chadema imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu.

Maendeleo hayana vyama!
Hill shoga lenu livunja haki za binadam kaeni nalo wenyewe
 
Mkuu unamkosea sn lowassa kumfananisha na bashite, Bashite ni lana ya Taifa

watu wanamsubir jiwe atoke madarakan wadil nae vzuri hakuna rangi ataacha ona
 
Yale matamko yake ya kila mara kwa viongozi wa Upinzani, Sasa hivi yanajirudia kila saa kichwani mwake. Kuwapima watu tezi dume nyumba kwa nyumba Watu wote wasiokua na kazi Dar wakamatwe mara moja, Mbunge yoyote asionekane dar wakati wa bunge, Kinamama waliotekelezwa na waume zao,Ukichepuka ni voboko mia 200, Watu walivumilia
 
Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa.

Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu.

Maendeleo hayana vyama!
Bashite akasome kwanza
 
Wewe Mwenyewe umekimbia kwenu Ruvuma, hata kutia nia umeogopa,umekalia majungu tu humu JF.
Hahahaaaa........ Nimeshajieleza hapa Kawe tunasubiri matokeo na Dr Mashinji, Pascal Mayalla na Askofu Gwajima!

Siasa ni sayansi.
 
Back
Top Bottom