Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kile ambacho CHADEMA imekuwa ikikosoa wengine ndicho inachokuja nacho. Walilalamika juu ya neno Tanzania ya Mag..... .
Kwanini CHADEMA mnakuja na slogan inayohusu mgombea na sio wananchi. Je, uchaguzi huu umelenga kuwa na faida kwa nani!? Mpiga kura au mpigiwa kura.
Kama ilivyokuwa kwa CCM...
Salam Wakuu!
Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake.
Hivyo, kama heading...
Salaam Wakuu,
Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA.
Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City.
Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu
Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Unajua siye wengine hapa ni CCM.
Lakini tangu misingi ya chama ianze kukiukwa baada ya Mwalimu JKN kuondoka (RIP mzee), sisi wana CCM asilia tumejikuta njia panda na imefikia mahala tumejikuta tunatamani chama chetu kiwekwe benchi na upinzani ili kiamke usingizini.
Ndiyo maana mnatusoma mara...
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Niko safarini kuelekea Iringa mjini kuangalia mazingira ya kisiasa waliyonayo wanyalu kwa sasa.
Mkuu Allen Kilevela sijakusikia muda mrefu bwashee..... Nitakuwepo hapo Miyomboni kwa siku mbili.
Tunajaribu kupima nguvu ya Jesca na namna ya kumsaidia ili tuung'oe huo muarobaini, 10 Yatosha kwa...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Kwa namna nilivyoushuhudia mtanange wa Tundu Lisu na Lazaro Nyalandu pale Mlimani City jana nashawishika kusema hata 2015 CHADEMA ingefanya kura za maoni Dkt. Slaa angeibuka kidedea.
Nilichogundua wajumbe wa CHADEMA wanapenda watu wenye sauti ngumu ngumu na kali kali.
Nyalandu alijisahau...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa.
Ameeleza kuwa kitendo hicho kilifanywa jana wakati Baraza Kuu la CHADEMA lilipokuwa likimpendekeza atakayepeperusha...
Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo .
Lakini sisi wengine...
Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience.
Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo
1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani
2. Serikali ina wajibu gani na...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai katika siku ya leo. Uongozi wa CHADEMA, katika kitengo cha media communication kimeprove failure katika jambo hili muhimu la kichama, na hii inanipa maswali mengi ya kujiuliza. Mojawapo ya maswali ni kama yafuatayo:
Je, hawa jamaa hawajui...
CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua.
Tundu Lissu amekuwa ni mtu wa kulalamika na kushutumu huku akipinga kila jambo litendwalo na CCM. Nampa tu angalizo kuwa urais wa JMT siyo sawa na ule wa TLS, watanzania watataka kusikia malengo...
Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu.
KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA
Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii...
Kwa muda mrefu chama cha ACT-Wazalendo kimekuwa kikiwashawishi Viongozi wa CHADEMA ili wakubaliane na wazo lao la kushirikiana au kuungana katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo ndio wameonekana kuwahitaji zaidi Chadema, kuliko wao kuhitajiwa na...
Wasalaam,
Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.
Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa...
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
Tumeshawasoma kuwa mmempitisha Tundu Lissu agombee ili mpate huruma toka kwa wananchi kwa tukio baya ambalo lilimpata baada ya kushambuliwa na genge la magaidi wanaotumiwa na CHADEMA na hii ni kwa mujibu wa Godwin Mollel Naibu Waziri Wa Afya.
Tuachane na hayo ya kushambuliwa,tujikite kwenye...