Nilichojifunza: Kama Lowassa angeshindanishwa mwaka 2015 pale CHADEMA basi Dkt. Slaa angeshinda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,582
147,442
Kwa namna nilivyoushuhudia mtanange wa Tundu Lisu na Lazaro Nyalandu pale Mlimani City jana nashawishika kusema hata 2015 CHADEMA ingefanya kura za maoni Dkt. Slaa angeibuka kidedea.

Nilichogundua wajumbe wa CHADEMA wanapenda watu wenye sauti ngumu ngumu na kali kali.

Nyalandu alijisahau akadhani anashindana na akina January au Kigwangalla wanaovaa suti za Sheria Ngowi kumbe Ufipa mambo ni tofauti hata mademu wao wana vibesi.

Natafakari tu jinsi Nyalandu alivyofeli.

Maendeleo hayana vyama!
 
... Yohana Mbatizaji; yule aliyembatiza Yesu Kristo mbingu zikafunguka sauti ikatoka "huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye; msikieni yeye"; Yohana yule always alikuwa anatema madini. Jaribu kufanana fanana naye Mkuu maana Id zenu zinafanana pia.
 
Bwashee Nyalandu hajafeli kama ww,in short ndiye PM ajaye
 
Nani na nani walishindanishwa kwenye kura za maoni kumpata mshindi?! Nilikuwa nasubiri kumsikia JPM akitoa takwimu za madaraja, nimepitwa vipi?!
Utasikia madaraja ya, kuhamia dodomn nakujenga ikulu ddm, na kununua ndege, Barbara na uwanja wa taifa kukarabati uwanja wa taifa wa mlm Nyerere, huji kusikia uwanja wa chato na buligi,
 
Walivyomzabua wajumbe hana tofauti na akina Lijuakali.😁.

Means kila mwezi alikuwa anapata kura moja moja toka ahamie huko.

Na baada ya November hii ndo tutaona kama hama yake ilikuwa ya dhati au maslahi zaidi.
 
Back
Top Bottom