CHADEMA baada ya yaliyotokea 2015 wamejifunza kuachia Demokrasia ichukue mkondo hakuna wa kubebwa na Mwenyekiti au Kamati Kuu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,902
2015 Lowasa alibebwa na Mbowe na kamati kuu bila kura na baraza kuu yaliyofuata Mbowe na kamati walitukanwa Kama watoto

Safari Mbowe na kamati kuu wamegoma kubeba mtu wameachia demokrasia ifanye kazi hawataki presha .Kwa hili hongereni kamati kuu ya CHADEMA

Kila mgombea apambane na hali yake . Demokrasia ichukue mkondo ili yale matusi mliporomoshewa yasirudi kwenu Kamati Kuu yaende kea wapiga kura sio Kamati Kuu

Mbowe na Kamati Kuu mko kwenye right track kwa kuachia demokrasia ifanye kazi hongereni
 
Mkuu, msiyemtaka ndiye ambaye atakuja. Ni rahisi kwa mhamiaji kununulika wala sio muasisi na mfia chama. Uamuzi juu ya Nyalandu ama Lissu ni alama muhimu ya nyakati ambayo kwayo wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CDM watapongezwa ama kulaumiwa na umma wa Watanzania.
 
Ni wazi mmetambua msiempanda anakuja.

If you can't beat them, join them.
Yeyote ashinde tu ili mradi tu Demokrasia ndan ya Chadema ichukue mkondo wake CCM hatuna tatizo Mimi nitakuwa wa Kwanza kumpongeza mshindi aliyeshinda kidemokrasia. Ndani ya Chadema kuwa kweli chadema Ni Chama Cha kidemokrasia . Pongezi zangu zasubiri mmalize mchakato
 
Demokrasia ni hii ya kuwa na Mkt Mfalme wa chama wa kudumu??? Sijakuelewa unajua!!
 
Chama kinanawiri wataipata wale watu wa mdebwedo mwaka huu. Atang'oka mtu ikulu.
 
Back
Top Bottom