Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar ahamia CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,549
217,830
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa @FremaanMbowetz akipokea kadi kutoka kwa Naibu Ka ( 369 X 640 ).jpg
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha CUF Zanzibar Faki Suleiman Khatib akisalimiana na ( 424 X 640 ).jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CUF upande wa Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib , ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA .

Haya yametokea ndani ya vikao vya CHADEMA vinavyoendelea huko ukumbi wa Mlimani City
 
I have grown to hate the politicians and this type of politics all together.
 
Back
Top Bottom