chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. WENYELE

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA Na Elius Ndabila Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo. Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuliwaambia kazi kubwa ni kujenga chama matawini ndio utafute kushika dola mkadharau

    Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini. CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

    Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote. Mitandao ya kijamii Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei. MMS -Hakuna zile mbwembwe...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

    Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo. Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja. Hongereni TBC...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Temeke: Kadawi Lucas Limbu, aliyetia nia kugombea Ubunge wa CHADEMA 2020 ahamia CCM

    Mwaka 2010 alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CUF, kutokana na kutofutwa kwa demokrasia, na uchaguzi huu alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CHADEMA. Kutokana na kuwa Demokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani haipo, leo ameamua kujiunga CCM Amejiunga katika mkutano wa...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kama Maalim Seif akishindwa kuchukua nchi mwaka huu, ajilaumu mwenyewe kwa uamuzi wake wa kutokwenda kwa Wapinzani wenye nguvu (CHADEMA)

    Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za Tundu Lissu akiwa Zanzibar, yaani unaona kabisa madini aliyokuwa anamwaga Tundu Lissu, laiti kama ile platform angekuwa yupo bega kwa bega ana mnadi Maalim Seif kama mgombea wa CHADEMA Zanzibar, mambo yangekuwa tofauti sana. Sio kwamba napuuza nguvu ya ACT...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA kuhusu Bima ya Afya ina ulaghai

    Katika uzi niliowasilisha awali nilizungumzia kuhusu athari ya ilani ya CHADEMA kwa ndoa na ajira; katika uzi wangu wa pili nilizungumzia kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo. Katika uzi wangu huu wa tatu, nitazungumzia ulaghai kuhusu utekelezaji wa sera ya bima ya afya...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa.... Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Ilani za CHADEMA na ACT Wazalendo kwa upande wa uchumi hazifafanui namna pato la ndani ya nchi (GDP) litakavyokuwa linaongezeka mwaka hadi mwaka kutoka figures za sasa. Pia hazitaji watakuwa wanakusanya mapato (kodi na mapato yasiyo kodi) kiasi gani ili kuwezesha wananchi tuweze kupima hayo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA isisahau viunga vya miji

    Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine. Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM 1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wanashindwa kuwaamini wagombea wa CHADEMA kwa hofu ya kujitoa

    Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo. Hii imeondoa imani ya wapiga kura kwao hasa hasa baada ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CHADEMA...
  19. Chakaza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

    Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina la mgombea wa CCM. Hii inatokana na jina la Wenje kumtesa moyoni. Mgombea wa CCM anaitwa Jafari...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

    Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa CHADEMA Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu. Anagombea urais bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi.
Back
Top Bottom