chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    Anguko kuu la CHADEMA

    Habari ya asubuhi wanabodi? Ni tumaini langu kwamba tuko salama na tunaendelea kupambana katika kulijenga taifa letu. Ndugu wanabodi katika kuendelea na mapambano ya kulijenga taifa letu nawaomba sana msijisahau kujilinda na ugonjwa wa COVID-19. Tuendelee kuchukua tahadhali na kuwa waangalifu...
  2. Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  3. GE2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

    Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea na wanajua hawatarudi. Wanafanya vyema kuwachia wengine, pengine hata wa vyama vingine waingie...
  4. CHADEMA mnatakiwa kumuomba msamaha Dkt. Slaa, laana yake inawatafuna kama saratani

    Kama binadamu mstaarabu pale unapofanya kosa kuomba msamaha huwa ni jambo la kiungwana. Maana utakuwa umejitambua wapi ulikosea. Mwaka 2015 Chama cha Demokrasia na maendeleo kilifanya kosa kubwa sana. Kwa kumuumiza moyo aliyekuwa Katibu mkuu wa chama hicho. Kwani ni kwa uroho wa fedha na sifa...
  5. R

    CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

    Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni. Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
  6. J

    Kwanini Mnyika hawaandikii barua wabunge wa Chadema kuwaelezea hatua zilizochukuliwa na Kamati Kuu dhidi yao?

    Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu. Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya...
  7. T

    Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

    Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema. Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe. Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
  8. CHADEMA Corona si muhimu tena mjitazame upya muda mchache

    Heshima kwenu wanajamvi, Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amekuwa mstari wa mbele kupigania taifa liingie katika kile kinachoitwa LOCKDOWN lugha ya Malkia.Ni wazi Mh Mbowe amepigana kweli kweli lakini pia ni vyema akafahamu kwamba policy ya LOCKDOW si popular miongoni mwa wanachi wengi wa...
  9. D

    Ushauri wa bure kwa CHADEMA dhidi Freeman Mbowe

    Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya. Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe wanapitia na kusikiliza amri ya kamanda mkuu, mfalme wa anga akitoa amri katika hili gwaride. Hebu...
  10. WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  11. Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
  12. J

    Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  13. J

    David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema. Up dates; Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
  14. K

    Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Ndugai. Wanakufa wabunge CCM ila wanalindwa wa Chadema wakapime afya zao

    Siku zote huwa naamini kwenye usemi ule wa kwamba ukiwa na hasira jaribu kujiepusha kufanya maamuzi, kwani unaweza ukaonekana kituko. Hakuna ubishi kuwa wiki hii yote au tokea wabunge wa Chadema waondoke bungeni kwa ajili ya kuji-quarantine kuna mtu mmoja pale bungeni na si mwingine bali Job...
  15. Mwisho wa CHADEMA ndiyo huu hapa bila kumtafuta mchawi

    Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo. Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm . Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme...
  16. J

    Pascal Mayalla na Jacton Manyerere wakubaliana na Spika Ndugai kwa uamuzi wa kumrejesha Mwambe na wabunge 4 waliofukuzwa CHADEMA

    Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare. Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama...
  17. D

    CHADEMA huwa haiangalii mwisho wa maamuzi yake sijui kwanini

    Chama cha Democrasia na maendeleo kimeonyesha wazi kuwa hakifanyii kazi au tafiti maamuzi yake azi ifu ni chama kigeni hapa Tanzania, ni kama hakipendi kuumiza kichwa sina hakika huwa linakuwa wazo lamtu mmoja au vipi lakini siamini. Tujaribu kuliangalia swala la kulokudauni au kufunga miji na...
  18. Dokezo Jipya: Baada ya Bunge kuvunjwa kuna mafuriko ya wana CHADEMA wanahamia NCCR Mageuzi

    Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA. Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi. Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa...
  19. Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

    Wabunge wote wa Chadema ambao hatimae wamehitimisha siku 14 za kujitenga (self isolation) kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake katika maeneo mengine ya mhimili huo, leo Ijumaa, wanatarajiwa kurejea bungeni kuendelea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…