chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. I

    CHADEMA chama bora cha siasa Afrika

    Chama cha demokrasia, CHADEMA, kinabaki na kinaendelea kuwa moja ya vyama bora cha siasa Afrika. ni chama pekee japo hakikushika dola bado, kinakidhi matakwa ya umma na kikatiba ya kuiongoza nchi. Chama hichi ni mpango wa Mungu. japo wale walioko madarakani wamekuwa wakikisakama Chama hichi kwa...
  2. J

    Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama. Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje...
  3. F

    TAKUKURU Ikimaliza Kuichunguza CHADEMA Watumie Ripoti ya Wizi wa Mali za CCM ya Bashiru Kuichunguza CCM pia

    Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
  4. Mystery

    GE2020 Ni kwanini TAKUKURU haijamchukulia hatua Dkt. Mayrose Majige wa CHADEMA kwa kutangaza kugombea Urais kabla ya muda?

    Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutangaza muda wa kuanza kampeni kwa vyama vyote vya sasa, kwa nafasi zote za zinazogombewa katika uchaguzi mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tume hiyo ya uchaguzi bado haijatowa ratiba hiyo na hivyo kuonya kwa...
  5. J

    Nimejipa jukumu la kuiombea CHADEMA katika kipindi hiki kigumu wanachopitia, bila upinzani imara CCM itayumba

    Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji. Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema...
  6. YEHODAYA

    GE2020 Chadema na ACT Wazalendo njia panda wagombea ubunge wao wengi wanatoka mkoa mmoja tu

    Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi. Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba. Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama...
  7. Chagu wa Malunde

    Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

    Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa. Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri. Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo...
  8. Pascal Mayalla

    Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

    Wanabodi, Wenye access fuatilieni hii Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada. Watangazaji...
  9. Pascal Mayalla

    GE2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  10. J

    Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

    Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe. Nitoe mifano michache ya...
  11. K

    Ushauri wangu wa wazi kwa CHADEMA ili kupambana na Mwamba, utakaopelekea kurudisha uhai wa chama, episode 1

    Ndugu zangu, Natumaini mko wazima, Kwa tuhuma zilizotolewa na wadau wengi dhidi ya mwamba, ni dhahiri kuwa mikakati yake ni mizito mno, na hatatokea mtu wa kumchallenge labda wafuate yafuatayo: Kuelekea Uchaguzi wa Octoba 2020, epukeni mtego wa kukopeshwa naye (debt trap), badala yake...
  12. YEHODAYA

    Chadema wabunge kuji-lockdown bila wapiga kura ni kukimbia vita na usaliti, hawafai

    Kwenye Vita viongozi hutakiwa kuwa mstari wa mbele kupigana bega kwa bega wakishiriana na wapiga kura Wabunge wa chadema kwa hofu ya corona walikimbia wakaitelekeza kwa wapiga kura wao eti wanaogopa kufa kwa corona Wakaacha wapiga kura wao ambao hata hela ya barakoa hawana waendelee kupambana...
  13. Erythrocyte

    CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

    Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea . Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye...
  14. fdizzle

    CHADEMA Jifunzeni kwa CCM

    Kuna baadhi ya mambo mnafanya hayaendani kabisa na mantiki ya taasisi imara amabyo imeundwa kwa misingi inayoeleweka. Hii kila wiki kamati kuu imekutana na kutoa tamko haileti maana zaidi inaonekana ni kama vile mawazo ya mtu mmoja sasa akitaka kuyahalisha ndio inaitwa kamati kuu zinapogwa blah...
  15. J

    Mikutano ya siasa ikiruhusiwa Chadema mtawahutubia nani na wafuasi wenu wamewakimbia?

    Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui. Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli? Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani...
  16. Miss Zomboko

    CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

     CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Kauli hiyo ya Chadema imetolewa jana Jumamosi tarehe 23 Mei 2020, na Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, kufuatia wimbi la wabunge...
  17. Patriot

    Prof. Baregu na Prof. Safari mpo wapi katika kuanguka huku kwa CHADEMA?

    Maprofesa wawili mulioko ndani ya CHADEMA munafahamika vizuri sana kwa ubobezi wenu. Prof. Baregu ni mzuri sana katika sayansi ya siasa, umewafundisha wengi na wamefanikiwa. Prof. Safari yuko vizuri katika sheria. Ni kesi nyingi umeonesha umwamba wake. Wanasheria wengi ni matokeo ya juhudi zako...
  18. J

    Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

    Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
Back
Top Bottom