chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

    Na huo ndio ukweli mchungu. Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Wafuasi 19 wa CHADEMA Arusha wapata dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi

    Mahakama kuu Kanda ya Arusha leo Alhamis Desemba 31 imewapa dhamana wafuasi 19 wa Chadema waliokuwa watuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Dhamana hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama hiyo Mohammed Gwae baada ya mahakama ya hakimu Mkazi kushindwa kutoa dhamana kutokana na mahakama hiyo kutokuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 tutaukumbuka kwa vituko vya CHADEMA kuanzia Lockdown hadi wabunge 19 wa viti maalumu!

    Kwaheri 2020 Karibu 2021. Tutaikumbuka 2020 kwa ushindi wa kihistoria wa CCM ambao haujawahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe. Tutaikumbuka 2020 kwa kufeli kihistoria kwa Chadema kwa kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe...
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

    Mhe. Halima Mdee na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kula kiapo hivi karibuni. "Sasa ni wazi kwamba, mimi na wabunge wenzangu 18, tulionyanganywa uanachama wa CHADEMA juzi, tutarudishiwa uanachama wetu asubuhi na mapema siku Baraza Kuu la CHADEMA...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

    Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali. Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini. Maendeleo hayana vyama!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kisheria Halima Mdee na wenzake wamepoteza ubunge baada ya kukata Rufaa Chadema badala ya kwenda mahakamani!

    Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao. Na kwa mujibu wa sheria mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa. Mgaya anasisitiza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

    Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho. Chanzo: Mwananchi My take; Hongereni kwa kuzingatia muda. Maendeleo hayana vyama! ==== Mwezi mmoja tangu wabunge 19 wa Viti Maalum waliokuwa...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda tuzo ya Digital Awards

    Hongera Chama chetu pendwa CHADEMA kwa kushinda tuzo za Tanzania Digital Awards, Category ya 'Best Political Party Use of Social Media' Pongezi nyinyi kwa team nzima ya CHADEMA Media kwa kazi nzuri mnayoifanya maana inaonekana na imethaminiwa na wananchi, keep it up. JF hatuko nyuma,tunao...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

    Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus. Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM. Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

    Siasa siyo uadui. Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama. Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu. Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania IDU kuwasemea CHADEMA ni dharau kwa Watanzania na kutaka kutuparaza vidole machoni

    Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani? Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko? Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isiwaombe CHADEMA iwasaidie kuzungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa?

    Sio siri ninavyoona mimi CHADEMA wakizungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kila mkoa tutapata fedha za kutosha, tusikae tukaona aibu au kujifanya tunaweza, inawezekana tukubali matokeo na tuombane msamaha kama kuna sehem tumekosea na hatukujua itasababisha mengine kukwama ili tufanye...
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nawatakia CHADEMA Christmas yenye baraka

    Kwenu Daudi Mchambuzi, Mrangi, Tindo, Salary slip, BAK, Chakaza, Mmawia Quinine, Molemo na Erythrocyte Nk....Nk. Ninawatakieni Christmas yenye baraka tele, kama kawaida mimi nitakuwa Useri kwa minajili ya kufunga mwaka. Bwashee erythrocyte wasalimie hapo Kyela akina mh Kinanasi na wengine...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

    Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu. Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wote walioapishwa na Spika ni halali; Je, Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno?

    Mpaka sasa watanzania wengi tupo njia panda maana hatujui kama waliokuwa wanachama wa CHADEMA - 19 ambao walivuliwa uanachama na chama chao bado ni wabunge halali au la? Jana gazeti la mwananchi limemnukuu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema wabunge wote aliowaapisha ni...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akamatwa na Polisi Mkoani Mbeya na kunyimwa dhamana

    Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana . Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
Back
Top Bottom