CHADEMA yashinda tuzo ya Digital Awards

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,200
103,735
1.jpg

Hongera Chama chetu pendwa CHADEMA kwa kushinda tuzo za Tanzania Digital Awards, Category ya 'Best Political Party Use of Social Media'

Pongezi nyinyi kwa team nzima ya CHADEMA Media kwa kazi nzuri mnayoifanya maana inaonekana na imethaminiwa na wananchi, keep it up.

JF hatuko nyuma,tunao mchango mkubwa sana
 
Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
BASHITE umenyimwa akili ya kuelewa kua CHADEMA tukimwajibisha Mbowe, itafanya vizuri chaguzi na kukwamisha maendeleo.
Mbowe yupo CHADEMA mtavimba mpasuke Mahayawani ya Lumumba.
 
Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app

Utamwajibisha Mbowe kama kulikuwa na uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Unamwajibishaje Mbowe kwa mfano kutokana na uchaguzi wa kishenzi?
 
Back
Top Bottom