chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo. Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura. Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  4. JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Wadau, Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

    Tunakoelekea mambo yatakuwa moto kama Rais ataamua kusimamia yale anayoyaamini kuwa ni sahihi kwa taifa. habari za mitandao huko zinasema kuwa ziko harakati za kumkwamisha katika utekelezaji wake wa majukumu ya kila siku. Na ugumu zaidi ataupata kwenye chama chake CCM ambapo wanadai kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

    Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA! Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inajitahi sana lakini inafeli sana. Sasa Afrika, Ulaya na duniani watu wanakishangaa hicho chama

    Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais. Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kundi lipi lipo upande wa Mungu, Je ni CHADEMA au viongozi wa dini?

    Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda, wanamtusi na kumkashifu Magufuli. Kwania njema kama kuna wadadavuaji wa mambo ya imani, ni kundi lipi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
  10. J

    JamiiForums Tanzania ITV kumkaribisha Dkt. Marcus Albanie wa CHADEMA katika kipindi cha Kipima Joto ni jambo la kupongezwa

    Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh. Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

    CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu? Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa! Ulaya sababu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

    Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele . Jionee mwenyewe .
  13. J

    JamiiForums Tanzania CUF yaungana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume Huru

    Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi. Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi hayo yamefikiwa na kikao cha kamati kuu. Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilishatoa msimamo ke huo wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

    Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile. Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli. Leo kwenye press...
  16. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA si chama rafiki kwa wakulima

    Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu kuelezea sera zake juu ya kilimo. Ukulima ndiyo kazi ya watu wengi nchi hii lakini CHADEMA iko mbali...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waende Mahakamani kudai viti vyao 19 vya Ubunge wa akina mama!

    Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe. Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris Maina, Jaji Warioba, Prof Shivji nk nk katika uzinduzi wa kitabu cha Jaji mkuu mstaafu Barnabas...
  20. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…